
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
@Chahali โข 222,578 subscribers
Editor, Ujasusi | Intelligence & Security Analysis โข Former Tanzania Intelligence Officer โข OSINT, African Intelligence & Security, Geopolitics
Shorts
Videos

Anaitwa Profesa Marcelina Chijoriga, Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere. In case you are wondering, huyu ni profesa wa taaluma sio wa tunguri kama Prof Manyaunyau! Ndo maana #Jasusi aliachana na ndoto za kusaka uprofesa. Itโs pretty much useless nowadays!
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข61,430 ๆฌก่ง็ โข 6 ไธชๆๅ

Ile kozi ya bure ya akili mnemba itaanza siku chache zijazo. Ni muhimu sana kupata ujuzi wa akili mnemba japo kiduchu kwa sababu Mwaka huu 2026 utatawaliwa na vita vya habari ambapo kwa wasio na uelewa wa kutosha itakuwa vigumu kutofautisha kati ya fact vs matango pori. Enewei #Jasusi ameona wadau wengi wakihisi kuwa hiyo clip ya hotuba ya #Chinjachinja ni AI. Kwahiyo ili kujiridhisha, akaipandisha clip hilo #ChatGPT, na majibu ndo hayo baada ya hotuba ya chinjachinja. Na ChatGPT ipo vizuri sana kubaini kama picha au video ni halisi au fekero/famba. Cha muhimu zaidi ni asilimia ya uhalisi/ufeki. Again, majibu ya ChatGPT, sio ya Jasusi...in case hujayapenda.
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข31,534 ๆฌก่ง็ โข 5 ไธชๆๅ

Chinjachinja kuna ujumbe wako huko na mwanao elijibitikyu
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข30,687 ๆฌก่ง็ โข 6 ไธชๆๅ

#Jasusi pia amesikia hili la SAMIA kuweweseka. Lakini hata bila kufahamu hilo, ile speech ya juzi imetoa clues kibao. Ofkoz, "watetezi" walisema alikuwa bwax lakini TBH there were signs of more serious problems. Is she medically fit kuongoza JMT? [That's a rhetorical question]
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข24,024 ๆฌก่ง็ โข 6 ไธชๆๅ

It's true Abduli na Kitengo chake cha ovyo wanapanga kuwatumia YuViSiSiEmu kuharibu maandamano ya #D9
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข23,780 ๆฌก่ง็ โข 6 ไธชๆๅ

So #Jasusi anaomba kukupatia darasa fupi lakini muhimu sana, nalo ni kwamba kwenye ujasusi ni muhimu mno kusikia kilichosemwa lakini hakikusikika (sio kwa sababu sauti ilikuwa chini bali kimetamkwa kivingine). Kwa wakati wako, unaweza kubaini moja au mawili au hata matatu ambayo Butiku kayasema lakini hayakusikika? [Hiyo video ni ya akili mnemba japo sauti ni halisi]
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข16,963 ๆฌก่ง็ โข 4 ไธชๆๅ

Tuwe wakweli. Watanganyika mmemwangusha TUNDU LISSU. Watanganyika mmemwangusha POLEPOLE Watanganyika mmemwangusha Captain TESHA. Na SAMIA anaendelea kuwa madarakani kwa sababu Watanganyika mmeridhika na hilo licha ya yeye kuwatoa uhai Watanganyika zaidi ya ELFU KUMI ๐ข
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข14,188 ๆฌก่ง็ โข 3 ไธชๆๅ

Msiingie kwenye mtego wa kusema "Waislamu wanamtetea SAMIA". Yes kuna mashehe ubwabwa wamelipwa kumsafisha lakini pia kuna viongozi wa dini wa Kikristo kama kina Mwamposa, Dkt Kimaro, Dkt Shayo, wavyotumika. ASANTENI MAUSTAADH MNAOSIMAMIA HAKI + UTU. MWENYEZI MUNGU AWAZIDISHIE
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข18,413 ๆฌก่ง็ โข 6 ไธชๆๅ

Huyu anayetabiriwa ni nani? [zingatia #FBIRule ๐]
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข34,187 ๆฌก่ง็ โข 1 ๅนดๅ