
Dedan Wangwe🇹🇿
@DedanWangwe • 16,524 subscribers
A political leader, farmer & a free mind soul
Videos

Huyu anaitwa Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana kudai posho zao, madai yao yamepelekea Dada huyu kuchukizwa na kuwachapa Vibao huku akitoa lugha chafu. Mhe. Dr. Dorothy Gwajima, Je, huu si Unyanyasaji na Udhalilisha? Upo wapi usawa?
Dedan Wangwe🇹🇿101,843 views • 1 year ago

Mpaka sasa ubaoni ni Vatikan 1 - 1 Makka. 😁 Huu nd'o mzigo wa pili (Zipo kama sita) Hutba imeshiba nondo.🔥🔥🙌🏼 Naleta zote hapa. Hakikisha umetazama ya kwanza, washa kengere usipitwe na zijazo. Sheikh katuinua sana Waislam tusiofungamana na Unafiki. Nafikiri tumwekee kakitu.
Dedan Wangwe🇹🇿89,135 views • 1 year ago

KIBURI ni dalili kubwa na hatua ya mwisho ya ANGUKO. Hifadhii hii📌
Dedan Wangwe🇹🇿18,315 views • 1 year ago

Kati ya wachache tuliobakia kuthibitisha kuwa Uislam si Unafiki hata kiasi cha kutetea uovu na ubaya unaotendwa na wenzetu. Kula Chuma hicho. na Ikiwezekana watumieni waipate walengwa. Tumekusikia Sheikh Ponda, wa-Tanzania hatutoruhusu kuendelea kutumika kwa kupumbazwa na Udini
Dedan Wangwe🇹🇿14,992 views • 1 year ago

Nafikiri asiyeelewa hata hili, atakua amechagua Kutokuelewa Mwenyewe.
Dedan Wangwe🇹🇿14,424 views • 1 year ago
No more content to load