
Dedan Wangwe🇹🇿
@DedanWangwe • 16,466 subscribers
A political leader, farmer & a free mind soul
Shorts
Videos

Huyu anaitwa Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana kudai posho zao, madai yao yamepelekea Dada huyu kuchukizwa na kuwachapa Vibao huku akitoa lugha chafu. Mhe. Dr. Dorothy Gwajima, Je, huu si Unyanyasaji na Udhalilisha? Upo wapi usawa?
Dedan Wangwe🇹🇿101,745 görüntüleme • 1 yıl önce

Mpaka sasa ubaoni ni Vatikan 1 - 1 Makka. 😁 Huu nd'o mzigo wa pili (Zipo kama sita) Hutba imeshiba nondo.🔥🔥🙌🏼 Naleta zote hapa. Hakikisha umetazama ya kwanza, washa kengere usipitwe na zijazo. Sheikh katuinua sana Waislam tusiofungamana na Unafiki. Nafikiri tumwekee kakitu.
Dedan Wangwe🇹🇿89,059 görüntüleme • 1 yıl önce

Makao Makuu ya Chama tawala nchini Mozambique yamefikiwa na waandamanaji na Wameamua kulitia jengo Moto. Jeshi la zima Moto limejaribu kuwazuia ili kuokoa Mali, nao wameishia Kushambuliwa na wameamua kutoka Nduki. Hii ni baada ya Chama hicho kupora Ushind wa Wapinzani Nchini humo
Dedan Wangwe🇹🇿36,568 görüntüleme • 1 yıl önce

KIBURI ni dalili kubwa na hatua ya mwisho ya ANGUKO. Hifadhii hii📌
Dedan Wangwe🇹🇿15,200 görüntüleme • 1 yıl önce

Kati ya wachache tuliobakia kuthibitisha kuwa Uislam si Unafiki hata kiasi cha kutetea uovu na ubaya unaotendwa na wenzetu. Kula Chuma hicho. na Ikiwezekana watumieni waipate walengwa. Tumekusikia Sheikh Ponda, wa-Tanzania hatutoruhusu kuendelea kutumika kwa kupumbazwa na Udini
Dedan Wangwe🇹🇿14,987 görüntüleme • 1 yıl önce

Nafikiri asiyeelewa hata hili, atakua amechagua Kutokuelewa Mwenyewe.
Dedan Wangwe🇹🇿14,423 görüntüleme • 1 yıl önce

Kitendo sahihi ni lazima Kitendwe hata kama ni Kikugumu kiasi gani.
Dedan Wangwe🇹🇿10,887 görüntüleme • 1 yıl önce
Daha fazla içerik yok.
