
(---) Onesmo Mushi
@EduTalkTz • 43,223 subscribers
Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely — Lord Acton
Shorts
Videos

Aliyezuia mikutano akielezea kwenye mkutano sababu ya kuzuia mikutano😂.
(---) Onesmo Mushi23,673 views • 23 days ago

Shule ni nini? Vigezo gani vinaweza kutumika kutofautisha shule na jengo tu?
(---) Onesmo Mushi29,960 views • 1 month ago

Wakati serikali ya MTUKUFU SAMIA inatumia trillion moja kodi ya watanzania maskini kugharamia SAFARI ZA WATUKUFU VIONGOZI, kijana mbeba mizigo pale Manzese ambaye mtoto wake hana hata dawati ndio kwanza yupo busy kumpigia chapuo MTUKUFU MTAWALA. #MtawalaSioMamaYako
(---) Onesmo Mushi11,171 views • 15 days ago

Tundu Lissu ni aina ya wapambania haki wanaotokea mara chache sana kwenye jamii fulani. Namfananisha sana na Yesu, sio kwa uMungu bali kwa uthubutu kwa kuwakabili wenye mamlaka bila kuhofia kulipa gharama. Ni kundi la wakina Socrates, Gandhi, Mandela, and the like. 🙌🏿
(---) Onesmo Mushi10,755 views • 17 days ago

Msafara wa Katibu wa CCM, wala sio kiongozi wa serikali. Mabilioni ya pesa yanayotumika kugharamia haya ndio mabilioni ya pesa ambayo hayatumiki kuboresha hali ya elimu, fursa za ajira kwa vijana, na social welfare. Ni bahati mbaya tumeyakawaidisha na sasa yamekuwa haki kwao.
(---) Onesmo Mushi22,542 views • 1 month ago

Katikati ya majonzi ya ukatili mkubwa unaofanywa na dola ambapo maelfu ya watanzania wenzako wameuawa, anakufuata DM mtu tu kutoka South Africa. Mazungumzo⬇️ Mtu: Oya, kwema aisee? Wewe: Kwema, niaje? Mtu: Poa. Sisi ni Ford Foundation, tunawalipa wanaharakati kibao Tanzania wafanye mapambano lakini hawasemi chochote kutushukuru. Kwa sababu wewe una followers wengi, tunataka utushukuru kwa niaba yao. Wewe: Poa poa, nimeshapost kuwashukuru kwa niaba yao kwa “kutupa billion.” Seriously??🤔
(---) Onesmo Mushi20,167 views • 1 month ago

Ikulu kuna biashara gani inayohitaji uwekezaji wa namna hii?🤔🤔 Samia Suluhu
(---) Onesmo Mushi76,633 views • 9 months ago