
(---) Onesmo Mushi
@EduTalkTz • 43,077 subscribers
Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely — Lord Acton
Shorts
Videos

Katikati ya majonzi ya ukatili mkubwa unaofanywa na dola ambapo maelfu ya watanzania wenzako wameuawa, anakufuata DM mtu tu kutoka South Africa. Mazungumzo⬇️ Mtu: Oya, kwema aisee? Wewe: Kwema, niaje? Mtu: Poa. Sisi ni Ford Foundation, tunawalipa wanaharakati kibao Tanzania wafanye mapambano lakini hawasemi chochote kutushukuru. Kwa sababu wewe una followers wengi, tunataka utushukuru kwa niaba yao. Wewe: Poa poa, nimeshapost kuwashukuru kwa niaba yao kwa “kutupa billion.” Seriously??🤔
(---) Onesmo Mushi19,611 görüntüleme • 6 gün önce

😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyo jamaa hapo nyuma ameamua kujichekea tu!!
(---) Onesmo Mushi40,815 görüntüleme • 3 ay önce

Ikulu kuna biashara gani inayohitaji uwekezaji wa namna hii?🤔🤔 Samia Suluhu
(---) Onesmo Mushi76,633 görüntüleme • 7 ay önce

“Mwanangu Pepe, huna masikio??” Mnakumbuka hiki kisa??
(---) Onesmo Mushi25,078 görüntüleme • 2 ay önce

Hawa watu kichwani kuna umeme kweli?🤔🤔🤔 Sasa tamko la TEC lina uhusiano gani na kinachoongelewa hapa?🤔
(---) Onesmo Mushi63,367 görüntüleme • 6 ay önce

Kuna kitu kinaitwa conscience au nafsi. Jean-Jacques Rousseau aliwahi kusema hakuna usaliti mkubwa kwa mwanadamu kama kuisaliti nafsi yako kwa kufanya jambo ambalo ni tofauti kabisa na unachoamini just for material gain. Nafsi ina tabia ya kusuta na kumsakama msaliti wake.
(---) Onesmo Mushi20,752 görüntüleme • 1 ay önce

Billioni 163 zimetengwa kutengeneza ramani?🤔🤔🤔🤔 #Vipaumbele
(---) Onesmo Mushi112,169 görüntüleme • 1 yıl önce

Tunakwenda Mecca kwa ajili ya kaburi la Mtume Muhammad. Tunakwenda Israel kwa ajili ya kaburi la Yesu. Lakini tukienda Iringa kwenye kaburi la babu na bibi zetu, tukalisafisha, na kuonesha heshima pale, ghafla tunaitwa washirikina. Why?😎😎 Ana hoja au hana??🤔
(---) Onesmo Mushi110,928 görüntüleme • 1 yıl önce

Hata saa mbovu kuna wakati inaweza kuonesha majira sahihi.
(---) Onesmo Mushi107,862 görüntüleme • 1 yıl önce