MR BEN's banner
MR BEN's profile picture

MR BEN

@Eric__Bernard • 452,965 subscribers

Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.

Shorts

Siku kama ya leo humu ndani huu ujumbe wa Balozi Polepole ni muhimu sana.. Ukiona jambo linachanganya usitoe Maoni.. Subiri kwanza!!

Siku kama ya leo humu ndani huu ujumbe wa Balozi Polepole ni muhimu sana.. Ukiona jambo linachanganya usitoe Maoni.. Subiri kwanza!!

64,835 views

Huyu Dogo Dotto ana Ndoto ya Kipekee sana sema anaweza kuja kufanikiwa kweli 😂😂😂

Huyu Dogo Dotto ana Ndoto ya Kipekee sana sema anaweza kuja kufanikiwa kweli 😂😂😂

35,109 views

Baba Levo akiwa Ofisini kwake!! 🙌😂

Baba Levo akiwa Ofisini kwake!! 🙌😂

15,714 views

Aliyetengeneza hii Mungu anamuona! 😂

Aliyetengeneza hii Mungu anamuona! 😂

34,131 views

Videos

Eric__Bernard's profile picture

MWIGULU AMPONGEZA NDEJEMBI, AMSIFU RAIS SAMIA KWA KUMCHAGUA MTU MAHIRI NA MCHAPAKAZI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amempongeza Mhe. Deogratius John Ndejembi kwa kuaminiwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kamati Kuu ya CCM na Halmashauri Kuu ya CCM na kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mwigulu ameitumia nafasi hiyo pia kumpongeza Rais Samia kwa kile alichokiita uwezo wa kumuona Ndejembi na kutambua sifa zake za uongozi, akieleza kuwa kiongozi huyo anazo sifa zinazomfanya astahili kupewa dhamana hiyo kubwa ya kitaifa. Akizungumza leo Alhamisi, Agosti 27, 2026, Bungeni jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu amesema Ndejembi ni kiongozi mahiri, makini na mchapakazi anayefanya kazi bila kuchoka kwa ajili ya kuhakikisha Watanzania wanapata manufaa. "Mhe. Spika, Deogratius Ndejembi kama kiongozi ni kiongozi mahiri sana, ni kiongozi makini, kiongozi mchapakazi anayefanya kazi bila kuchoka ili Watanzania waweze kupata manufaa." Amesema Dkt. Mwigulu. Waziri Mkuu amesema pamoja na uwezo wa kufanya kazi, Ndejembi pia ana sifa za unyenyekevu na upole, akimtaja kuwa mtu rahimu na asiye na hiana ndani yake. Kwa upande mwingine, Dkt. Mwigulu amemhakikishia Ndejembi kuwa yeye pamoja na mawaziri wenzake wako tayari kushirikiana naye katika kutekeleza majukumu yake mapya, ikiwa ni pamoja na kupokea na kutekeleza maelekezo yatakayosaidia kufanikisha maagizo ya Rais Samia katika kuijenga Tanzania. Kauli hiyo ya Waziri Mkuu inaweka wazi kuwa uteuzi wa Ndejembi haukuangalia nafasi pekee, bali ulizingatia pia sifa za kiuongozi ambazo amekuwa akizionesha katika utekelezaji wa majukumu yake.

MR BEN

24,225 views • 1 month ago

Eric__Bernard's profile picture

Injili hii hapa wakuu

MR BEN

87,051 views • 1 year ago