Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Injili hii hapa wakuu

86,755 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Ahmad👣
Ahmad👣vor 1 Jahr

Wanatoa mapovu sababu ni ukweli ukiwekeza kwa vibinti vidogo wee jiandae tuu kulizwa, nina ushahidi na hili jamaa alikuwa anahudumia kila kitu mwanamke yule akiwa chuo siku moja anaenda kwa mwanamke anakuta jamaa yupo ndani wanafanya yao, isingekuwa ushauri wa wadau angejiua

Profilbild von FANCO
FANCOvor 2 Jahren

NEW OFFICIAL COLLABORATION ALERT! Get your PERSONALIZED @Godzilla_Toho Japanese hanko stamps at for yourself, friends and family! #fanco #godzilla #GodzillaMinusOne 👉

Profilbild von Fumbo Khan
Fumbo Khanvor 1 Jahr

Huyu mbona kama ni Mkombozi wetu sisi Majobless 😂😂

Profilbild von NAKIVONA MEDIA
NAKIVONA MEDIAvor 1 Jahr

Asilimia kubwa hawawapi pesa kwaajili ya kuwekeza au kusaidia, wananunua ngono.

Profilbild von Shayo E.M.
Shayo E.M.vor 1 Jahr

Hii ni CHUNGU-TAMU mkuu🤣🤣

Profilbild von Presenter Noah
Presenter Noahvor 1 Jahr

aiseee, hii imeenda

Profilbild von Ms Bee🌹
Ms Bee🌹vor 1 Jahr

Yupo sahihi umri huo wa mwanamke mambo yanakuwaga mengi kinoma. 🤣🤣

Profilbild von Deo Gemini
Deo Geminivor 1 Jahr

kuna ile ya kuwavunja vitu vyao kama hawaelewi kwa liliani mwasha baasi hawataelewa tena na madume yanayojinadi kuvunja sana na kuacha

Profilbild von Latino mafia
Latino mafiavor 1 Jahr

Ukweli ambao hauwezi pendwa na malaya

Profilbild von WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSADvor 1 Jahr

Kwa Injili hii milio ni lazima 😂😂

Profilbild von Adro_19
Adro_19vor 1 Jahr

Milio mikali sana na sukari zinapanda kiwango kikubwa sana

Ähnliche Videos