
MR BEN
@Eric__Bernard • 452,967 subscribers
Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.
Shorts
Videos

Service Man (John Majura) Mujibu wa Sheria, Kikosi cha Ruvu JKT, Amefanya vizuri kwenye mazoezi ya Porini 🙌🙌
MR BEN34,496 просмотров • 19 дней назад

Vijana msiache kuomba Namba Jamani... Kuna Kijana huku katuangusha mno!
MR BEN513,955 просмотров • 3 лет назад

MWIGULU AMPONGEZA NDEJEMBI, AMSIFU RAIS SAMIA KWA KUMCHAGUA MTU MAHIRI NA MCHAPAKAZI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amempongeza Mhe. Deogratius John Ndejembi kwa kuaminiwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kamati Kuu ya CCM na Halmashauri Kuu ya CCM na kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mwigulu ameitumia nafasi hiyo pia kumpongeza Rais Samia kwa kile alichokiita uwezo wa kumuona Ndejembi na kutambua sifa zake za uongozi, akieleza kuwa kiongozi huyo anazo sifa zinazomfanya astahili kupewa dhamana hiyo kubwa ya kitaifa. Akizungumza leo Alhamisi, Agosti 27, 2026, Bungeni jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu amesema Ndejembi ni kiongozi mahiri, makini na mchapakazi anayefanya kazi bila kuchoka kwa ajili ya kuhakikisha Watanzania wanapata manufaa. "Mhe. Spika, Deogratius Ndejembi kama kiongozi ni kiongozi mahiri sana, ni kiongozi makini, kiongozi mchapakazi anayefanya kazi bila kuchoka ili Watanzania waweze kupata manufaa." Amesema Dkt. Mwigulu. Waziri Mkuu amesema pamoja na uwezo wa kufanya kazi, Ndejembi pia ana sifa za unyenyekevu na upole, akimtaja kuwa mtu rahimu na asiye na hiana ndani yake. Kwa upande mwingine, Dkt. Mwigulu amemhakikishia Ndejembi kuwa yeye pamoja na mawaziri wenzake wako tayari kushirikiana naye katika kutekeleza majukumu yake mapya, ikiwa ni pamoja na kupokea na kutekeleza maelekezo yatakayosaidia kufanikisha maagizo ya Rais Samia katika kuijenga Tanzania. Kauli hiyo ya Waziri Mkuu inaweka wazi kuwa uteuzi wa Ndejembi haukuangalia nafasi pekee, bali ulizingatia pia sifa za kiuongozi ambazo amekuwa akizionesha katika utekelezaji wa majukumu yake.
MR BEN24,225 просмотров • 1 месяц назад

Mwamba kageuza ajenda chap "Kwa hiyo naishi na usalama wa taifa humu ndani" 😂😂
MR BEN44,005 просмотров • 2 месяцев назад

MADAI YA HECHE KUHUSU SGR NI MWENDELEZO WA UPOTOSHAJI Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche, ameonekana kuendeleza tabia yake ya uchonganishi na kusambaza taarifa za uongo kwa umma bila kufanya utafiti wa kutosha. Katika kauli zake za hivi karibuni, Heche amedai kwa kejeli kuwa mradi wa Reli ya Kasi (SGR) unajengwa kwa vipande visivyoungana, akidai kipande cha kati hakipo wakati ujenzi wa Lot 3 na Lot 4 ukiendelea kwa kasi kubwa site. Ushahidi huu wa video unaonesha wazi kazi za utayarishaji wa tuta la reli (roadbed), uchorongaji miamba, na upimaji wa udongo (compaction tests) zikikiendelea katika maeneo mbalimbali ya mradi.
MR BEN14,184 просмотров • 1 месяц назад

Wataalamu wa Malezi Twitter mnasemaje? Hii Sio Child Abuse kweli Serikali iingilie Kati?
MR BEN102,812 просмотров • 1 год назад

Dogo Anasoma Shule ya Kata alivyotema Kiingereza mbele ya Rais Samia 🙌🙌🙌 Yai limenyooka hili
MR BEN92,940 просмотров • 1 год назад

Ukiachana na ajenda za TL kwa Ground Libaba Levo linajua Kujielezea sana na Kujenga Hoja!! 🙌
MR BEN67,563 просмотров • 1 год назад

Sikiliza kwa Umakini hii halafu niambie Script imekosewa wapi? 😂
MR BEN106,881 просмотров • 2 лет назад

Waziri Bashungwa ni Mmoja ya Viongozi Serikalini wanyenyekevu na wasio jikweza kabisa! 🙌🙌🙌
MR BEN83,885 просмотров • 1 год назад