
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
@JabirSaleh • 70,955 subscribers
Radio personality Music Analyst
Shorts
Videos

Karibu kwenye episode ya kwanza ya podcast yetu mpya inaofahamika mwa jina la ‘Kuvi and The Huslaz ‘,hiii nakusudia kukaa chini na wapambanaji wa maisha ambao Mara nyingi kimtaa tunawaita Ma Huslaz wakituelezea👇🏾 Cc LISSU hamza Lule Godfrey Achireka Jr. Babu Bomba SANUKAnaCHAPO
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi12,835 views • 1 month ago

Familia ,nimehamia UFM (Azam Media) tangu 1st of May,nawakaribisha kufuatilia PGMS zangu kupitia 107.3 ,Mtaa107 saa 8 kamili hadi 10,pia nawasukia kipindi bora zaidi ya Classic ambacho kitawajia hivi karibuni,thnx kwa support zenu SANUKAnaCHAPO Latto 𝕏 Dullah_theKing🎧 Babu Bomba
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi16,092 views • 4 months ago

Wezi hua Miyeyusho sana aisee dah
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi37,247 views • 1 year ago

Kwa zaidi ya miaka 17 Rado.kiraka na @therealfidq wameripotiwa kua na “Beef” ambayo kimsingi ilishika hisia za mashabiki wao na wa Hiphop kwa ujumla,wawili hawa walikua ni marafiki wa tangu utotoni na ni kabla ya harakati za Hiphop. Week iliopita Fid Q alijibu Diss track ya 👇🏾
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi15,705 views • 1 year ago

@therealfidq anasema hakuwahi kua na tatizo lolote na Mc/Rapper #Johmakini licha ya kuwepo hisia kua wawili hao walikua kwenye rap battle ama Beef kwa muda mrefu. Fid Q anasema ni kama wadau wa media walitengeneza mpasuko baina yao ambapo anadhani pengine Joh ilimpa athari 👇🏾
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi13,159 views • 1 year ago

Kaka SANUKAnaCHAPO na mapashkuna wake hata post hiii 😆😆😆
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi14,644 views • 2 years ago

EMINEM (MLAMI) ALIMPA DARASA LA KUCHANA MAKAME TOLU (JIGGA) ?? Track No 12(Renegade) Album : The Blueprint by Jay z Mlami (Eminem) anapiga verses mbili za hatari sana kwenye hiyo ngom na Makame ,Wengi wakisema na wanaendelea kusema Makame alipotezwa mno kwenye michano 👇🏾
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi10,737 views • 1 year ago

Hardblasterz,Kwanza Unit,na Hashim Dogo ni baadhi ya Mc's waliomvutia @nikkimbishi999 akiwa kijana mdogo ,siku zote Nikki anamtaja Professor Jay Joseph L. Haule kama "Mentor " wake kwenye game ,lakini Nikki anmheshim sana Kr Mulla toka TMK WANAUME akiwa kama moja ya nguzo 👇🏾
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi10,930 views • 1 year ago

Producer Q the Don kwenye #Theclassicefm alinambia “sidhani kama kuna rapper mwenye level ya u genious kama Ngwea/kwenye top 5 ya muda wote yeye ni namba 1” Huyu Q ndio alitengeneza CNN ya Ngwea na Fid Q (kwa maoni yake) Cc LISSU Name Cannot Be Blank 🚫 BATRO
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi15,981 views • 3 years ago
No more content to load