Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

37,247 views • 1 year ago •via X (Twitter)

11 Comments

Kabigwa_Afya💊's profile picture
Kabigwa_Afya💊1 year ago

Ndo mana nikikuta sehemu wanapiga mwizi sisogei, I know the pain

JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi's profile picture
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi1 year ago

Wanatia hasira sana

Solar Heavy's profile picture
Solar Heavy1 year ago

whoa thats crazy but have you heard this?

James Munisi's profile picture
James Munisi1 year ago

💨 Kumbe hii milango inanyanyuka kirahisi hivi. Hawa jamaa ukiwakuta ni kuwabonyeza kisawasawa.

It's me,,,,!'s profile picture
It's me,,,,!1 year ago

Tangia wani chukulie Kibajaji changu cha kustaafia 04/06/2017 sina hamu nao.

JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi's profile picture
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi1 year ago

Pole sana

Inzaghi's profile picture
Inzaghi1 year ago

Mimi kitu ambacho kinanishangaza mpaka Leo ina Hawa wezi Huwa hawanaonagi wenzao wakikamatwa kitu ambacho wanafanywa ?? Mbona hawana roho ya uwoga hata kidogo?? Why, Yan unaona mwenzako anachomwa moto Leo kesho linatokeabjizi jingne nalo linaiba, dah!!

Thomas Wa Chox's profile picture
Thomas Wa Chox1 year ago

Mbona hasemi action anayoenda kuchukua baada ya hapo kana mwamba kakubali na kaona ni sawa so hyo cctv inakusaidia nini sasa hapo

morani🇹🇿's profile picture
morani🇹🇿1 year ago

Huu ujasiri ni zaid ya kujitoa muhanga kaupata wap🤔🤔😂😂😂

Mbeba Lawama 🗣️'s profile picture
Mbeba Lawama 🗣️1 year ago

Ila unaweka mali za gharama km hvyo halaf mwizi anaingia easily tu hvyo dukan kweli. Sema wafanya biashara wengi kwenye hili wanakwama. Kuna mtu anaweka mzigo wa milion mpaka 200 dukan halaf anategemea kufuli la 15k😳

The Finest Derick👑's profile picture
The Finest Derick👑1 year ago

Jamaa miyeyusho sana wanarudisha nyuma

Related Videos