
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
@JabirSaleh • 70,941 subscribers
Radio personality Music Analyst
Videos

Familia ,nimehamia UFM (Azam Media) tangu 1st of May,nawakaribisha kufuatilia PGMS zangu kupitia 107.3 ,Mtaa107 saa 8 kamili hadi 10,pia nawasukia kipindi bora zaidi ya Classic ambacho kitawajia hivi karibuni,thnx kwa support zenu SANUKAnaCHAPO Latto 𝕏 Dullah_theKing🎧 Babu Bomba
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi16,001 次观看 • 2 个月前

Kwa zaidi ya miaka 17 Rado.kiraka na @therealfidq wameripotiwa kua na “Beef” ambayo kimsingi ilishika hisia za mashabiki wao na wa Hiphop kwa ujumla,wawili hawa walikua ni marafiki wa tangu utotoni na ni kabla ya harakati za Hiphop. Week iliopita Fid Q alijibu Diss track ya 👇🏾
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi15,705 次观看 • 1 年前

@therealfidq anasema hakuwahi kua na tatizo lolote na Mc/Rapper #Johmakini licha ya kuwepo hisia kua wawili hao walikua kwenye rap battle ama Beef kwa muda mrefu. Fid Q anasema ni kama wadau wa media walitengeneza mpasuko baina yao ambapo anadhani pengine Joh ilimpa athari 👇🏾
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi13,158 次观看 • 1 年前

EMINEM (MLAMI) ALIMPA DARASA LA KUCHANA MAKAME TOLU (JIGGA) ?? Track No 12(Renegade) Album : The Blueprint by Jay z Mlami (Eminem) anapiga verses mbili za hatari sana kwenye hiyo ngom na Makame ,Wengi wakisema na wanaendelea kusema Makame alipotezwa mno kwenye michano 👇🏾
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi10,732 次观看 • 1 年前

Hardblasterz,Kwanza Unit,na Hashim Dogo ni baadhi ya Mc's waliomvutia @nikkimbishi999 akiwa kijana mdogo ,siku zote Nikki anamtaja Professor Jay Joseph L. Haule kama "Mentor " wake kwenye game ,lakini Nikki anmheshim sana Kr Mulla toka TMK WANAUME akiwa kama moja ya nguzo 👇🏾
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi10,927 次观看 • 1 年前

Producer Q the Don kwenye #Theclassicefm alinambia “sidhani kama kuna rapper mwenye level ya u genious kama Ngwea/kwenye top 5 ya muda wote yeye ni namba 1” Huyu Q ndio alitengeneza CNN ya Ngwea na Fid Q (kwa maoni yake) Cc Pablo Name Cannot Be Blank 🚫 BATRO
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi15,979 次观看 • 3 年前
没有更多内容可加载