
Jamii Forums
@JamiiForums • 1,841,015 subscribers
Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
Shorts
Videos

DAR: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Profesa Elgidius Ichumbaki ameyasema hayo Agosti 14, 2026 wakati akizungumza katika mjadala wa kumkumbuka mwanazuoni Chachage Chachage. Zaidi #JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia
Jamii Forums25,288 Aufrufe • vor 5 Tagen

ZANZIBAR: Patrobas KatambI ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, amesema hayo Agosti 16, 2026, akiwa Kijiji cha Kangagani, Kaskazini Pemba. Mdau, unaamini ahadi ya Katiba Mpya itatekelezwa? Shiriki mjadala #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMatukio #JFDemokrasia
Jamii Forums14,940 Aufrufe • vor 3 Tagen

Baada ya kusambaa video fupi ikionesha mvutano huku Bodaboda akisikika kumdai Askari Tsh. 35,000 ya kumuendesha, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema “Tutachunguza kwa kina na kujua kiini cha tatizo ni nini”. Ameongeza “Hataonewa Mtu wala hatapendelewa, haki itatendeka, baada ya pande zote kusikilizwa na ushahidi kuchambuliwa kwa hatua stahiki. Si haki kuhukumu hapo na si haki kuhukumu Jeshi zima kwa tendo la mtu mmoja. Tuwe na uvumilivu tuepuke hukumu za chuki bila kujua ukweli ndugu zangu. Tupost na mengi mema pia.” Zaidi #JamiiForums #JFMatukio #CivilRights
Jamii Forums40,891 Aufrufe • vor 9 Tagen

ARUSHA: Taarifa ya Jeshi la Polisi imeeleza Askari hao wanashikiliwa kwa uchunguzi zaidi kufuatia kifo cha fundi gereji Sefu Mussa (25) na kujeruhiwa kwa Salimu Haji Chambega, Agosti 12, 2026, tukio lililotokea ndani ya hifadhi hiyo, ambapo kwa mujibu wa Abdallah Nuru Ngandana aliyekuwa pamoja na wenzake hao alisema walishikiliwa baada ya kupotea njia walipokuwa wakielekea msibani Babati. Fuatilia zaidi #JamiiForums #JFMatukio #HumanRights #Uwajibikaji
Jamii Forums26,334 Aufrufe • vor 6 Tagen

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, mfanyabiashara kutoka Zimbabwe, Wicknell Chivayo amechapisha video ikimuonyesha akiendeshwa kwenye gari na Rais wa Kenya, William Ruto muda mfupi baada ya kumalizika kwa sherehe ya kimila ya posa na kumuaga binti wa Rais Ruto, Charlene Ruto. Chivayo ameandika: “Baada ya kuhudhuria sherehe ya binti wa Rais Ruto, Mungu alinipa nafasi ya kipekee kwani Rais Ruto aliniomba aniendeshe mimi na mke wangu kwa umbali wa kilomita tatu hadi ilipokuwa imeegeshwa helikopta yangu.” Zaidi #JamiiForums #Utawala
Jamii Forums33,864 Aufrufe • vor 9 Tagen

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameyasema hayo Agosti 10, 2026 alipokuwa anaondoka katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baada ya kuhudhuria kesi ya uhaini inayomkabili. Itaendelea kesho Agosti 11, 2026 ambapo shahidi wa Jamhuri, ACP Amini Mahamba, ataendelea kutoa ushahidi wake. Zaidi #JamiiForums #JFSheria
Jamii Forums26,984 Aufrufe • vor 9 Tagen

DAR: Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda ameyasema hayo Julai 23, 2026 alipokuwa akizungumza na Wananchi kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga wakati wa Tamasha la Kuwafikia na Kuhamasisha Jamii Dhidi ya Dawa za Kulevya, lililoanza kwa matembezi kutoka Azizi Ali hadi Mwembe Yanga. Mdau una maoni gani? Fuatilia zaidi #JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
Jamii Forums46,513 Aufrufe • vor 27 Tagen

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Salum Pazzy hayo alipohojiwa na Malkia Choice FM, Agosti 6, 2026. Ameongeza kuwa "Abiria wanapopata usumbufu wawasiliane na LATRA kupitia Namba 0800110020, inafanya kazi Saa 24." Ikumbukwe, kwa nyakati tofauti Wadau wa wamekuwa wakitoa hoja kuhusu tabia ya Daladala kukatisha 'ruti', kutoza nauli zaidi au kutorejeshewa chenji kwa madai ya kukosa Tsh. 100 au 200, hali ambayo imekuwa kero kubwa kwao." Zaidi: #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026 #JFHuduma Nawe pia unaweza kuwasilisha KERO yako kupitia FichuaUovu inayopatikana katika mtandao wa
Jamii Forums17,127 Aufrufe • vor 9 Tagen

Eti Mdau, makonda wa daladala za kwenu wana muonekano gani? Mjadala unaendelea #JamiiForums #Maisha
Jamii Forums26,306 Aufrufe • vor 16 Tagen

KILIMANJARO: Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Julai 23, 2026 akiwa ziarani, na kuwataka viongozi wa halmashauri na vijiji kutafuta suluhu za haraka za upungufu wa madawati na miundombinu ya shule badala ya kusubiri bajeti ya Serikali. Mdau, una maoni gani? Shiriki mjadala #JamiiForums #JFHuduma
Jamii Forums35,562 Aufrufe • vor 25 Tagen

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taaluma UDOM (UDOMASA), Dkt. Gerald Enos Shija ameeleza hayo wakati akihojiwa na Kituo cha DW cha Ujerumani, Julai 24, 2026. Ikumbukwe, Julai 21, 2026, Dkt. Kaijage alipewa dhamana na Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma baada ya kushikiliwa na Jeshi la Polisi tangu Julai 8, 2026 akidaiwa kuhamasisha maandamano Julai 7, 2026, kwa sasa anakabiliwa na shtaka la ugaidi ambalo halina dhamana. Fuatilia zaidi mjadala #JamiiForums #JFMatukio
Jamii Forums33,510 Aufrufe • vor 26 Tagen