
MO 29 TV
@MO29TV • 4,103 subscribers
TV YA WANANCHI, KWAAJILI YA KUMBUKIZI YA MAUAJI YA RAIA 29.10.2025.
Videos

Habari hapa ni Dodoma Makulu tukio hili la huyu mama limetokea leo tarehe 19 alipewa note's ya kubomoa jengo kupisha ujenzi wa barabara ila hakulipwa leo wamembomolea nyumba na note's mwisho tarehe 20. Wakati ubomoaji unaendelea mama aliingia ndani ili wamuue kwani hana pakwenda
MO 29 TV13,942 次观看 • 9 天前