
MO 29 TV
@MO29TV • 4,353 subscribers
TV YA WANANCHI, KWAAJILI YA KUMBUKIZI YA MAUAJI YA RAIA 29.10.2025.
Videos

ASILI YANGU NI LEBANON NA TANZANIA, NIMEISHI MSUMBIJI NA LEBANON Baba yangu ni raia wa Lebanon, huku mama yangu akiwa Mtanzania. Nimeishi kwa muda mrefu nchini Msumbiji na Lebanon, jambo lililonipa fursa ya kuishi katika mazingira na tamaduni tofauti. #Lebanon #Tanzania
MO 29 TV47,137 views • 12 days ago

Namshukuru Samia na Serikali kwa kuchangia Pesa za miss Grand :NIFFER
MO 29 TV44,136 views • 12 days ago

Kasesela aliyewambia wananchi watulize matako amepewa ukuu wa Wilaya.
MO 29 TV22,993 views • 22 days ago

Unamuona mtu ni muongo, Mauaji lakini anasimama mimbarani kulifundisha kanisa :BAGONZA
MO 29 TV21,601 views • 24 days ago

Tumewasha MITAMBO Follow haraka page ya MO 29 TV insta, Facebook pia Subscribe YouTube..
MO 29 TV37,251 views • 7 months ago

Habari hapa ni Dodoma Makulu tukio hili la huyu mama limetokea leo tarehe 19 alipewa note's ya kubomoa jengo kupisha ujenzi wa barabara ila hakulipwa leo wamembomolea nyumba na note's mwisho tarehe 20. Wakati ubomoaji unaendelea mama aliingia ndani ili wamuue kwani hana pakwenda
MO 29 TV14,255 views • 2 months ago

Tundu Lissu kukaa Gerezani ni mbegu ya kuwatengeneza wajina Lissu wengine :MSIGWA
MO 29 TV13,496 views • 2 months ago

WIMBO MPYA:Kama waliuwa ndugu zetu watashindwaje kuchoma sidiria na CHUPI.
MO 29 TV26,882 views • 6 months ago

Mabillion ya Kodi yapotea wananchi wakiwa wameitisha maandamano ya kudai haki zao za msingi
MO 29 TV15,061 views • 3 months ago

Nchi imeelewa wananchi wanajitolea kusambaza vipeperushi vya maandamano ya 7-7.
MO 29 TV15,724 views • 3 months ago