
Moza Ally
@MozaAlly_ • 28,673 subscribers
POLITICIAN
Videos

CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA “CHAUMMA” Itikadi ya chama chetu tunaamini katika demokrasia ya kijamii na ambayo misingi yake ni Uhuru, Umoja, Ukweli, Haki, Amani, Usawa mbele ya sheria, Ustawi wa jamii na Maendeleo kwa wote" Tunaendeleza tuliponishia 💪🏽 #TUNACHEZA
Moza Ally25,249 просмотров • 1 год назад

Mh John Heche "Sikiliza OCD wewe si unanguvu sitoki hapa bila kusalmia wananchi labda uniue na tutoke hapa maiti" Na Mwenyekiti wa bavicha Taifa Wakili msomi Deogratias Mahinyila very bold akimwambia OCD "hana mamlaka ya kumzuia JWH kuwasalmia wananchi waliokusanyika kumsalimia
Moza Ally23,576 просмотров • 1 год назад

Nitakuwa Mpumbavu wa mwisho kutokusema #NoReformsNoElection wakati kata ya Hananasif jimbo la Kinondoni tumezika mwenzetu kutokana na mambo ya uchaguzi,tuungane kudai mabadiliko ya sheria Za uchaguzi,aniwakumbushe 24/4 tukutane kisutu tukiwa na kitaa cheupe na maji kudai #Haki
Moza Ally20,464 просмотров • 1 год назад
Больше нет контента для загрузки