
Moza Ally
@MozaAlly_ • 28,673 subscribers
POLITICIAN
Videos

Mh John Heche "Sikiliza OCD wewe si unanguvu sitoki hapa bila kusalmia wananchi labda uniue na tutoke hapa maiti" Na Mwenyekiti wa bavicha Taifa Wakili msomi Deogratias Mahinyila very bold akimwambia OCD "hana mamlaka ya kumzuia JWH kuwasalmia wananchi waliokusanyika kumsalimia
Moza Ally23,576 views • 1 year ago

Nitakuwa Mpumbavu wa mwisho kutokusema #NoReformsNoElection wakati kata ya Hananasif jimbo la Kinondoni tumezika mwenzetu kutokana na mambo ya uchaguzi,tuungane kudai mabadiliko ya sheria Za uchaguzi,aniwakumbushe 24/4 tukutane kisutu tukiwa na kitaa cheupe na maji kudai #Haki
Moza Ally20,464 views • 1 year ago
No more content to load