
Necto Kitiga
@NectoKitiga • 46,624 subscribers
Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa 2025/2029.
Videos

Hapa ni kijiji cha ITONYA kata ya KIMALA jimbo la kilolo wanannchi wakiwa wamebeba mgonjwa kuelekea kituo cha afya. Ni mwendo wa 3/4Hrs kufika kilipo kituo cha afya, Unavuka kata tatu kwa miguu kuokoa maisha ya mtanzania mwenzao. Halafu kodi zetu zinatumia kununua goli la mama.
Necto Kitiga11,006 views • 1 year ago

Tatizo sio UWEKEZAJI, tatizo ni MKATABA. Tatizo sio UWEKEZAJI, tatizo ni MKATABA. Tatizo sio UWEKEZAJI, tatizo ni MKATABA. Tatizo sio UWEKEZAJI, tatizo ni MKATABA. Tatizo sio UWEKEZAJI, tatizo ni MKATABA. Hii ijirudie kwenye vichwa vya wanaotetea mkataba wa DPW.
Necto Kitiga10,772 views • 2 years ago
No more content to load