GOOD MORNING TANZANIA
@NectoKitiga48K followers
12,210 views
9 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@raesrocine
Nitafutie chama kinanyanyua mzuka wa mashabiki na wananchi kama @ChademaTZ2 @TunduALissu kaiongezea mashabiki na moto ukikolezwa na @HecheJohn Acha wapokee mamilioni, hizo hela sawa na kunywa damu za nduguzo maana zimetokana kwa usaliti na maafa ya utekaji #NoReformsNoElection
1 like

@SolarHeavy
take the journey
8,830 likes

@SaintMwanga
Kuma la mamaake.. Uu wimbo ni 🔥 ile mbayaaa.. AYAYAYA CHADEMA. Wote ni CHADEMA AYAYAYA CHADEMA. Saint Mwanga CHADEMA AYAYAYA CHADEMA🎉💪
1 like

@RogathMsuy77662
Very good!! Ari ilivyokua ime collapse,imerejea.Kumeanza kuchangamka.🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
1 like

@mordecaipm451
Hili songi🙌🏾🙌🏾
1 like

@MaganiShaban
Hatari sana mkoa Gani huu wakuu

@MsafiriTraver
Watawala wananuna wakiona hivi...

@ben5robert
Tatizo hawajahakiki daftari la kudumu la mpiga.

@mxrereco
Kuna kitu nimejifumza kupitia hii vidio. Naiona tofauti kubwa kati ya wafuasi wa nyekundu na wafuasi wa kijani.
