
Necto Kitiga
@NectoKitiga • 46,624 subscribers
Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa 2025/2029.
Videos

Hapa ni kijiji cha ITONYA kata ya KIMALA jimbo la kilolo wanannchi wakiwa wamebeba mgonjwa kuelekea kituo cha afya. Ni mwendo wa 3/4Hrs kufika kilipo kituo cha afya, Unavuka kata tatu kwa miguu kuokoa maisha ya mtanzania mwenzao. Halafu kodi zetu zinatumia kununua goli la mama.
Necto Kitiga11,006 次观看 • 1 年前
没有更多内容可加载