
Mchokozi !!
@OleMtetezi • 357,140 subscribers
Mwenyekiti Wa Umoja Wa Kizazi Cha Kuhoji Twita//Trust Me Iam Everything Ur Not
Shorts
Videos

Huyu Alikua OCD Wa Wilaya Ya Hai, Hapa Anamwambia Mgombea Wa Ubunge Wa CHADEMA Jimbo La HAI Kwamba Hata Afanye Nini Hawezi Kumshinda Mgombea Wa Ubunge Wa CCM Baada Ya Hapo OCD Huyu Alipandishwa Cheo Alafu Kuna Watu Bado Hawaelewi Kwanini Tunasema NO REFORMS NO ELECTION?
Mchokozi !!85,126 Aufrufe • vor 1 Jahr
0:48
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Nimeangalia Mahojiano Ya Tundu Lissu Na Kipindi Cha Clouds 360, Niseme Tu! Mtangazaji Kija Yunus Ni Muandishi Wa Habari Wa Hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubui .. Msikilize Kidogo 👇🏿👇🏿
Mchokozi !!91,667 Aufrufe • vor 1 Jahr

Askofu Dkt. Benson Bagonza Ana Hoja Ya Msingi Sana Tumsikilize ...!!
Mchokozi !!106,979 Aufrufe • vor 2 Jahren
Keine weiteren Inhalte verfügbar