
Futbal Planet ✴️
@PlanetFutbal • 20,850 subscribers
OFFICIAL FPM TL ACCOUNT. 🟢 ALL ABOUT FOOTBALL NEWS
Shorts
Videos

AZIZ KI AKIWA ANAVUTA SHISHA. . —WAKATI wachezaji wa Yanga pamoja na mashabiki wakiugulia juu ya vipigo viwili mfululizo, Stephanie Aziz Ki yeye ameonekana akivuta Shisha kwenye moja ya Klabu za Starehe hapa Jijini Dar Es Salaam 😎 . Una lolote la kumwambia Mshikaji ⁉️👇
Futbal Planet ✴️151,337 views • 1 year ago

DAAAH..!! Anasema SERIKALI isiingilie kati😂 Mambo ya WATANI haya 😂
Futbal Planet ✴️60,531 views • 1 year ago

HUYU Mtangazaji wa zamu SIDE ana mambo yake tu..!!😂 Eti Inzi waliochangamka😂😂
Futbal Planet ✴️50,951 views • 1 year ago

DICKSON JOB AMWAGA MACHOZI KWAAJILI YA MSHERI. Baada ya Abutwarib Msheri kusababisha Penati na kupelekea kuruhusu Bao ni dhahiri kila mtu aliona kosa alilofanya Msheri wengi hawakuamini alichokwenda kukifanya kwenye Matuta. Kwenye hatua ya Matuta Msheri anaokoa Penat 2, Dickson Job anamwaga machozi ya Furaha na Hisia kwa Msheri ni ishara ya upendo mkubwa sana ni marafiki wa muda mrefu. NB: Kocha Hamdi nimpongeze sana kuweza kumsaidia Msheri Kama angemtoa nadhani ingemharbu sana kisaikolojia
Futbal Planet ✴️45,021 views • 1 year ago

Ila LEONARDO ni Bonge la Comedian😂 na anacheza namba zote 🙌🏿
Futbal Planet ✴️58,073 views • 1 year ago