
Futbal Planet ✴️
@PlanetFutbal • 20,711 subscribers
OFFICIAL FPM TL ACCOUNT. 🟢 ALL ABOUT FOOTBALL NEWS
Shorts
Videos

AZIZ KI AKIWA ANAVUTA SHISHA. . —WAKATI wachezaji wa Yanga pamoja na mashabiki wakiugulia juu ya vipigo viwili mfululizo, Stephanie Aziz Ki yeye ameonekana akivuta Shisha kwenye moja ya Klabu za Starehe hapa Jijini Dar Es Salaam 😎 . Una lolote la kumwambia Mshikaji ⁉️👇
Futbal Planet ✴️151,056 Aufrufe • vor 1 Jahr

DAAAH..!! Anasema SERIKALI isiingilie kati😂 Mambo ya WATANI haya 😂
Futbal Planet ✴️60,508 Aufrufe • vor 1 Jahr

BONIPHACE JACOB 'BONIYAI' ANASEMA NEW AMANI ni KAMA KWA MKAPA TU. Boniface Jacob
Futbal Planet ✴️43,801 Aufrufe • vor 1 Jahr

DICKSON JOB AMWAGA MACHOZI KWAAJILI YA MSHERI. Baada ya Abutwarib Msheri kusababisha Penati na kupelekea kuruhusu Bao ni dhahiri kila mtu aliona kosa alilofanya Msheri wengi hawakuamini alichokwenda kukifanya kwenye Matuta. Kwenye hatua ya Matuta Msheri anaokoa Penat 2, Dickson Job anamwaga machozi ya Furaha na Hisia kwa Msheri ni ishara ya upendo mkubwa sana ni marafiki wa muda mrefu. NB: Kocha Hamdi nimpongeze sana kuweza kumsaidia Msheri Kama angemtoa nadhani ingemharbu sana kisaikolojia
Futbal Planet ✴️45,013 Aufrufe • vor 1 Jahr

HUYU Mtangazaji wa zamu SIDE ana mambo yake tu..!!😂 Eti Inzi waliochangamka😂😂
Futbal Planet ✴️50,914 Aufrufe • vor 1 Jahr

SIDE anasema wale Familia wamekunja Leo😂😂 OYAAAH HUYU SIDE ANA BALAA AANA HUMU😃😂🙌🏿
Futbal Planet ✴️41,974 Aufrufe • vor 1 Jahr

KAKA George Ambangile wenzenu hawa ndio WANAWAPONZA Mjue 😂😂😂
Futbal Planet ✴️37,198 Aufrufe • vor 1 Jahr