
Presenter Noah
@PresenterNoah • 50,406 subscribers
Marketer, Amplifier & Influencer
Videos

Sad hii ndio shida yetu wengi tukiwepo sehemu zenye fursa, tunataka kuonekana tupo hapo ila tupate picha zakupost na story za kusimulia ila hatufaidiki na chochote kifursa Sitaki sema Jemedari alimkuta Juma Offguard but trust me chukua waandishi wote waliokuwepo kwenye huu msafara wa Rio, hata ule wa Drogba na mingine mingi itakayokuja na uwaulize same questions amini hawatakua na positive context wala majibu ya maana zaidi ya kuruka ruka Nazijua changamoto za wanahabari na maripota (nimeishi huko) ila kuna muda tunatakiwa kujua aim ya msingi ya kila tunachofanya au kushiriki na sio tu kuonekana ulikuwepo au ulishiriki halafu basi utaishia kupost tu picha na kuhadithia kwa wanao Content creators wanapata content kwenye mambo kama haya sababu ya field yao ila Mwanahabari ambaye amekua kwenye msafara wote amesikiliza speechs, amefanya interview lakini still hana anything ya maana yakuzungumzia ziara aliyoishiriki 🚶🏾♂️kazi ipo
Presenter Noah69,592 views • 18 days ago
No more content to load


