
Uncle Fafi
@Tanganyikan • 157,680 subscribers
| Bookworm | Photography | Content Producer | Tech Writer |Swahili Enthusiast | Jogger | Basketball | Manager for @05_kemmie
Videos

Kwa hii kauli ya "umama" usishangae Kisarawe wakipata DC mpya kabla jogoo hajawika mara 3.
Uncle Fafi66,027 görüntüleme • 2 ay önce

Siwezi kukubali kuchanganyikiwa peke yangu, nusu ya vuta nikuvute nimeiweka kwa dakika 10
Uncle Fafi47,843 görüntüleme • 1 yıl önce

Nimekutana na hii video ya 2013 nikiwa content manager wa Kilimanjaro Premium Lager msimu wa Kili Music Tour tukiwa Kigoma nilirekodi hii moment ya #NIPENI_MAUA_YANGU💐 #KitaaREJEX OUT NOW..!!! theVOA izzo Bizness MINDSET na kala jeremiah wakijadili kuhusu siasa kuelekea uchaguzi wa 2015
Uncle Fafi26,782 görüntüleme • 2 yıl önce

Mlikuwa mnasema Shigongo kwa kutoa cement na viti, kuleni chuma hicho toka jimbo la Kalenga 😂
Uncle Fafi10,815 görüntüleme • 11 ay önce

Nimeshindwa kuendelea kukaa hapa kuangalia familia zinazokutanishwa kwa mara ya kwanza kupitia Leo Tena
Uncle Fafi12,386 görüntüleme • 2 yıl önce
Daha fazla içerik yok.