正在加载视频...
视频加载失败
Jiwe gizani ila yuko sahihi 100%
59,587 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Ipo Dubai na yawezekana kuwndelea. Maendeleo hayapatikani kwa kutegemea kodi bali kwa kuhamasisha uzalishaji wa ndani na kuuza nje. Ukiweza kudhiboti ununuzi wa bidhaa (final products) kutoka nje. Kwa kuagiza raw materia uzalishe mwenyewe. Ajira hukuza uchumi.

Wakati mwendazake Anaya gear haya watu hawakumuelewa tukasema anafukuza wawekezaji 😭😭😭😭😭

Nusu yuko sawa nusu hayuko sawa, wazawa wenye nguvu ni wachache sana, serikali ikiwapa hawa wenye nguvu miradi yote wanatengeneza monopoly ya miradi yote. Lakini ujio wa wachina angalau kuna watu wachache wanainuka, baada ya miaka kadhaa hawa wanaofanya kazi na wachina watakua tayari wana nguvu.

Kaka angalia kampuni za China zinazoshida miradi hapa East Afrika, hazizidi 5. Sio mbaya kutengeneza wakubwa wachache ambao wanaweza ku-subcontract kwa nyingine kadhaa.

Rostam yupo sahihi,hii imejitokeza zaidi kwa nchi ya 🇷🇺,Wawekezaji wake wengi wa nje imewabidi wafunge viwanda vyao ama kutafuta wanunuzi wapya wa viwanda hivyo na kuuza “share” zao zote.Serikali ya Urusi imenunua baadhi ya viwanda hivyo mfano kiwanda cha magari cha Nissani.

Rostam mkweli sana na mtu anaetaka Tubadirike tuendelee ile kikweli maana kama hela anazo alipofika anaona kuna haja gani wabongo kuwa maskini

Mwanasiasa akikwambia sasa ivi ni usiku basi kama upo ndani toka kwanza nje ukajiridhishe

Wengi humchukulia kama fisadi ila ukitaka kumjua mtu usimuhukum kwanza mstard kwanza

Maza anaubonda mwingi. Bandari tayar , mbugan tayar Bado bwawa la nyerere na mwendokasi. @ccm_tanzania oyeeeeeeee @SuluhuSamia oyeeeee.😃😃😃

Sasa wenetu wakufungua nchi inakuaje🤣🤣🤣

Hana shida ila anasema sio miradi yote mikubwa lazima wapewe wageni

