
Vitus Nkuna
@VitusNkuna • 92,486 subscribers
Mwanachama wa CHADEMA|| Previous BAVICHA Chairman Nyasa Zone|| Ex- Katibu Bavicha Iringa|| Devotee.🙏✌️
Videos

William Nchimbi alikuwa Mjumbe wa cc ya CCM iliyoketi Jul 11 2015 na alipinga wazi maamzi ya mchakato kumpata Magufuli na mgombea mwenza Mhe Samia 2015. Leo Nchimbi ni Mgombea mwenza wa Rais Samia 2025. Hii ndio siasa. Vijana wengi tunachukulia Siasa ni kama kulala na kahaba!.
Vitus Nkuna33,797 次观看 • 1 年前

Tarehe 12/08/2024 CHADEMA na Baraza la Vijana tuliratibu namna ya kuwa na Kongamano la Vijana na tukapanga lifanyike MBEYA. Katika hali ya kushangaza tulizuiwa na polisi na Vijana walizuiwa kuingia Mbeya, Viongozi tulikamatwa na kuwekwa selo na wengine kupigwa . Leo CCM wanafanya
Vitus Nkuna35,446 次观看 • 1 年前

Naona jana na leo watu wanasema na kutafuta huruma kuhusu neno alilosema Mhe Freeman Mbowe wakati wa hotuba yake. Neno "mimi sio MBANGAIZAJI" . Hii haiwapi huruma na hakutukana mtu wala hakumlenga mtu, Sikilizeni👇. Lakini pia CHADEMA sio Chama cha WANYONGE,tunakataa UNYONGE.
Vitus Nkuna21,869 次观看 • 1 年前

Asas anakiri uongozi ndani ya CCM ni MNADA leo!. Mnec huyu anashindwa kuikemea CCM kwa kulea utaratibu huo kwa miaka. Analalamika tuu, Taifa limepoteza dira kwa sababu ya ninyi CCM mnahonga Pombe,kofia,kanga,fedha kwenye chaguzi, Mnanunua watu kwa KODI zetu unalamika leo!.
Vitus Nkuna11,379 次观看 • 1 年前
