ๆญฃๅจๅ ่ฝฝ่ง้ข...
่ง้ขๅ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ
DC kaliwa kichwa ๐๐
269,766 ๆฌก่ง็ โข 3 ๅนดๅ โขvia X (Twitter)
36 ๆก่ฏ่ฎบ

Sugu alipata kuyasema haya ๐คฃ

Hii amejitakia mwenyewe! Kwanza anamuiga rais ktk tukio baya linalohusisha "risasi"? Mbona wilayan kuna mambo mengi ya msingi ya kushughulikia? Kwann wanaweka nguvu kubwa kwenye maonyesho na sifa? System lazima itafakari upya namna DCs na RCs wanapatikana. Wengi ni empty set.

Wakuu wa Wilaya na Mikoa hawana kazi thats why!

@kasulukwetu Hapana Kaka Sio Hawana Kazi Ni Vile Wenyewe Ni Vichwa Maji Tu Kazi Zipo Nyingi sana Maana Huko Ndio Kuna Miradi Ya Maendeleo Sema Vichwa Maji Tu

@VitusNkuna Ni kweli kabisa. Mkuu wa wilaya anaweza kutenga siku 2 kwa wiki za kwenda site. Anapita mahospitalini, mashulen, kwenye mirad ya maendeleo, nk, Sikh zinazobaki ktk wiki anakaa ofisin kwa ajili ya vikao na kupokea wageni.

Yaani tunaanza kujiwazia vita tu na maguvu yasiyo na maana Kwani DC alitaka atengeneze movies z za kibongo au Siku ya wanawake unafanya maonyesho ya silaha bora aliwe tu kichwa maana kichwa chenyewe hakina mawazo ya maendeleo kinawaza vita

Kwa uelewa wangu mdogo ni siku ya wanawake, ilikuwa ni kuonesha ukakamavu wa jeshi la polisi wanawake (ulinzi) ndio maana wote walioonekana ni wanawake tu.

Mbona haina Ubaya wowote basi kama katumbuliwa kwasbabu hii Bado tunayo safari ndefu saana ,hili ni jambo la kawaida

Kwa hiyo hao wenye mabunduki hakupatikana hata mmoja wa kumshauri aache ujinga?

DSO yuko wapi; DAS yuko wapi; JWTZ wa wilaya yuko wapi; OCD alikuwa wapi; kamati ya ulinzi na Usalama kwa nini haikumshauri DC kwamba anakosea

Mchekesha wengi kalia pekeake

@i_am_kondeboy sijaelewa nini kinaendelea ila Disii alikuwa na point asikilizwe na azingatiwe upya

Tokea nchi1 ipate uhuru huu ujinga haujawahi tokea๐๐๐๐๐

Sema sjaona alipokosea! Alitak kuonyesh namna wanawak wanaweza kuimarish ulinz.... Sas walimweng wameligeuz

Hiyo scenario kwenye video ni ya kweli kaka mbona ya kishamba kwa level ya DC๐คฃ๐คฃ

Sema waliigiza vizuri kama movie hivi.. apewe kitengo kingine hata BASATA tupate Movie za action Tz

Ila hii nchi ๐๐๐

Hivi vyeo vya utotoni kazi kwa kweli๐๐๐๐

Hahaaaa akalime mtango tuu mbona sisi tunalima na tunaishi

Ni nchi hii tu ndiyo ina nahau nahau tu. ( twachekwa hatujijui. )

daaaaaa dada angu kaleta mkosi kwenye ukoo ๐ญ

Huyu Jane nyamsenda si alikuwa chadema kipindi cha 2015 huko??...alikuja kuupata uDC

DC kama DC Daaah

Huo ni utabiri wamambo yajayo ndugu zangu, tukae kwa kutulia yajayo yanafurahisha. Balaa huwa linakuja mara tatu

Kajitakia mwenyewe

Huyu ambaye mnachekelea katumbuliwa hivi mnajua kitengo chake kweli au mnafrahisha tu viriba roho?

Aliyeonekana katika Video akiigiza siyo DC aliyetumbuliwa; kutumbuliwa kwake haina uhusiano na Video hii. Tafuteni sababu nyingine

Nlikua nashangaa dc anakua na kikosi kipana hivi kama cha 'presdaa'. Kamwe usitake kujilinganisha na anayekupa ugali. Ona sasa.

Hata RPC anatakiwa kuwajibishwa

Amepewa nafasi ya kwenda kuitumikia sanaa ya maonesho vyema

Katiba tu ndio itatuokolea hivi vitu maana mkuu wa wilaya anafanya maujinga ivi??

Kosa ni hii demo ya askari??

Ndo shida ya vyeo vya kupewa hivi na uchawa usio na tija.

Hii Nchi Nyie Ngumu Sana๐๐

๐๐๐

@SaveVidBot
็ธๅ ณ่ง้ข
Sensitive content
Huyu Dada alitoa hii code dicember ila leo nikashikwa kichwa nikamkumbuka๐๐ Ubarikiwe sana Mwanadada!
Masaki
143,541 ๆฌก่ง็ โข 1 ๅนดๅ
