
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
@_zack255 • 95,752 subscribers
Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Kiboko ya wanaharakati East Africa | Alhamdulillah
Shorts
Videos
0:53
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

VIJANA MNANYIMANA HADI DHAMBI? haya video zote hizi hapa Thread 👇
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿88,170 views • 4 months ago

WAUMINI WA DHEHEBU LA KIKATOLIKI WAMKANA WAZI FATHER CHARLES KITIME Zikiwa zimepita siku mbili tangu maaskofu wa kanisa la kikatoliki watoe tamko lao kuhusu sakata la uwekezaji wa bandari lililowakilishwa na Father Kitime, hali mtaani hasa kwa waumini wa dhehebu lilo imekuwa tofauti baada ya kuonekana baadhi ya matamko yaliyotamkwa kupigwa wa waumini hao na kusema sio msimamo wa kanisa bali maneno yake binafsi. Utofauti huu umejitokeza na kuibua hisia kali kwa waumini na kujitokeza kutoa mauni yao na kuonesha dhamira ya wazi kutokuunga mkono tamko hilo, huku wengine wakisema hawana shida na uwekezaji wa bandari kikubwa ni Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuzingatia maoni na ushauri uliotolewa kwajili ya maboresho zaidi.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿386,681 views • 3 years ago

Hii nchi ina hekaheka nyingi sana kila mmoja anatamba upande wake
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿20,948 views • 1 month ago
0:41
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Baada ya michango ya Tone Tone Arusha Sugu aonekana kwenye night Club akila bata na Wanawake usiku wa manane. Kufuatia kufanyika kwa mkutano wa hadhara wa CHADEMA Jijini Arusha na kukusanya fedha kiasi cha Tshs Milioni mbili,Joseph Mbilinyi maarufu SUGU ameonekana usiku wa manane akiwa kwenye night club ya The Hub akiwa amelewa chakari na Wanawake wa Jiji hilo.Hii ikimaanisha michango ya Tone Tone inatumiwa na wahuni wachache wa CHADEMA.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿32,044 views • 3 months ago

Wazanzibar wanajikuta vijukuu vya mtume! Et kwamba hapa sio bara nyokooo 🚮🚮🚮
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿74,083 views • 2 years ago

BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku Viongozi wa chama hicho wakineemeka kwa kupata fedha toka kwa wafadhili wao. Kwa taswira hii, ni wazi kuwa wananchi wengi hawavutiki kujitokeza kusikiliza sera cha kuleta mpasuko ndani ya Nchi, jambo linaloweza kutafsiriwa kama ujumbe wa kimya kutoka kwa jamii kwamba siasa zisizogusa maisha yao moja kwa moja hazina nafasi kubwa mioyoni mwao. Huu ni mwitikio hafifu, taswira ya aibu, na ishara kwamba wananchi wanataka hoja zenye majibu ya maisha yao — si maneno ya majukwaani pekee. #RipotiYaTumeImefichua #TumeYaUchunguziReport Wafanya Vurugu Walilipwa
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿12,196 views • 4 months ago