
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ
@_zack255 โข 95,977 subscribers
Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Alhamdulillah
Shorts
Videos
0:27
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:41
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Baada ya michango ya Tone Tone Arusha Sugu aonekana kwenye night Club akila bata na Wanawake usiku wa manane. Kufuatia kufanyika kwa mkutano wa hadhara wa CHADEMA Jijini Arusha na kukusanya fedha kiasi cha Tshs Milioni mbili,Joseph Mbilinyi maarufu SUGU ameonekana usiku wa manane akiwa kwenye night club ya The Hub akiwa amelewa chakari na Wanawake wa Jiji hilo.Hii ikimaanisha michango ya Tone Tone inatumiwa na wahuni wachache wa CHADEMA.
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ31,912 Aufrufe โข vor 13 Tagen
0:53
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

VIJANA MNANYIMANA HADI DHAMBI? haya video zote hizi hapa Thread ๐
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ88,170 Aufrufe โข vor 1 Monat

Nawakumbusha Tu Ukiingia Jela Mwaka Huu Unatoka 2055๐
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ299,120 Aufrufe โข vor 1 Jahr

Ni hatari na nusu wazee wenzangu ๐ฅ๐
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ257,923 Aufrufe โข vor 1 Jahr

๐๐๐๐๐huyu jamaa bhana
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ185,826 Aufrufe โข vor 1 Jahr

BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku Viongozi wa chama hicho wakineemeka kwa kupata fedha toka kwa wafadhili wao. Kwa taswira hii, ni wazi kuwa wananchi wengi hawavutiki kujitokeza kusikiliza sera cha kuleta mpasuko ndani ya Nchi, jambo linaloweza kutafsiriwa kama ujumbe wa kimya kutoka kwa jamii kwamba siasa zisizogusa maisha yao moja kwa moja hazina nafasi kubwa mioyoni mwao. Huu ni mwitikio hafifu, taswira ya aibu, na ishara kwamba wananchi wanataka hoja zenye majibu ya maisha yao โ si maneno ya majukwaani pekee. #RipotiYaTumeImefichua #TumeYaUchunguziReport Wafanya Vurugu Walilipwa
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ12,178 Aufrufe โข vor 1 Monat

Huyu Abigail Chams ana balaa ๐ค
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ111,863 Aufrufe โข vor 2 Jahren

Pasta wenu leo yupo na Wakatoliki ๐๐
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ41,525 Aufrufe โข vor 10 Monaten

Dkt. Tulia hapa alimaliza kila kitu. ๐ค
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ45,510 Aufrufe โข vor 1 Jahr

Wazanzibar wanajikuta vijukuu vya mtume! Et kwamba hapa sio bara nyokooo ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ74,074 Aufrufe โข vor 2 Jahren

CHAMA CHA WAFAMASIA WAIPONGEZA NHIF KWA KUBORESHA KITITA CHA MAFAO
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ31,120 Aufrufe โข vor 2 Jahren

Namleta Rais Samia Suluhu Hassan- Diamond Platnumz ๐ถ๐ฅ
๐๐ซ.๐๐๐๐คโข๐น๐ฟ21,234 Aufrufe โข vor 2 Jahren
Keine weiteren Inhalte verfรผgbar