
Jebra Kambole
@Advocate_Jebra • 354,027 subscribers
Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032
Shorts
Videos

Tundu tushampa Nondo zote zinazotakiwa kesho pale mahakama ya Rufaa!! Kesho ni siku nyingine ya kiwanda cha elimu kutoka shule kuu ya sheria!! Tujiandae kupata burudani. Kesho ni mwendo wa kuweka vyuma tu, Sisi hatuchekeshi kwenye maswala yanayohusu uhai na haki za watu.
Jebra Kambole17,965 просмотров • 1 месяц назад

Chande Chende Chindi Chondo ………….Chundu!!! 😂😂😂 Kimewaka hapa!!!!
Jebra Kambole26,853 просмотров • 2 месяцев назад
0:40
Sensitive content
This media may contain sensitive content.
0:25
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Huyu ni nani? Maana naona amekamua kisawasawa!! Kawapa makavu
Jebra Kambole85,670 просмотров • 1 год назад

Hizi dharau zimezidi sana, mtu nafasi yenyewe ya kupewa kwenye kisosi alafu unadharau watafutaji? Ulitaka wakaibe?, unaenda mbali na kudai wataolewa! Serikali haitoi ajira za kutosha, watu wakipambana unaleta dharau? Hii kiburi ya mboga mboga ni ya kukomeshwa kabisa!
Jebra Kambole93,448 просмотров • 1 год назад

Wakuu endeleeni kuchochea moto, nyoka wameanza kutoka vichakani sasa!
Jebra Kambole71,277 просмотров • 1 год назад

Mdude amekamatwa na Police Force TZ Usiku huu nyumbani kwake, wamevunja mlango na kumpiga sana!, KWa kuwa tumeamua kuwakabidhi watu wa aina hii bunduki basi matokeo yake ndo haya. Mungu wetu wa mbinguni tunakuomba umponye Mdude Nyagali , kila siku story ni za aina hii, haiwasaidii!!
Jebra Kambole70,209 просмотров • 1 год назад

Hivi huyu anadhani dunia ya Sasa ni ya kuleta Siasa za kishamba za ukichagua upinzani wanaleta vita? Kwanza anaowaambia wanamshangaa! Watanzania sio wajinga! Siasa za ulaghai zishapitwa na wakati!!! Unashindwa kujenga hoja unaamua kuwapumbaza watanzania!! #NoReformNoElection
Jebra Kambole67,322 просмотров • 1 год назад

Bibi amenyooka sana, anawazidi ndezi kibao uelewa wa mambo na ujasiri! Ukweli lazima usemwe!!!
Jebra Kambole37,088 просмотров • 7 месяцев назад

TAL huwa anambinu za kukabiliana na changamoto maeneo ambayo wengi hawana majibu! TAL ni Mwalimu pia na anaifahamu vema nchi hii!!! Hapa ofisi imezingirwa na police hakuna kutoka mtu wala kuingia mtu, yeye anaamua watu wote wabaki ndani waanze kula nondo sasa!
Jebra Kambole72,232 просмотров • 1 год назад

Neno Moja kWa Mbangaizaji John Heche atasoma comments zenu!!! 👇🏽
Jebra Kambole61,433 просмотров • 1 год назад