
Honourable speaker KILESI🕊️
@Bendevelarian98 • 18,745 subscribers
Siasa | Ukweli | Fikra huru (Politics | Truth | Critical Thinking) Si upande—ni mtazamo. Siasa sio ushabiki—ni uelewa. (Politics is thinking,not cheering)🧠
Videos

Huyu Mbunge hajaona jinai kama mwakikishi wa wananchi ila kuna kenge mmoja majuzi tulikuwa nae tukimsakama uncle Magu na wakati mwingine tukamsakama sa100, Ety leo hii yeye anajiongelesha huko bungeni kama anaejikaza kujamba, ooh hakuna mikutano ya kisiasa, who are you Mr katambi? Mwenye authority ya kusitisha mikutano ya kisiasa kwasababu za kiusalama ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, cyo ww ndezi, Hali ya hatari nchini hutangazwa na na Mkuu wa nchi ambaye ni rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rejea kwenye katiba ya nchi yetu, soma ibara ya 32, au acha ninukuu kwa manufaa ya wengi "Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 32 – inampa Rais mamlaka ya kutangaza hali ya hatari endapo anaona kuna mazingira yanayohitaji hatua hiyo, kwa kufuata masharti na taratibu zilizowekwa na Katiba. Tangazo hilo pia linahusisha ushiriki wa Bunge kwa mujibu wa taratibu za kikatiba. Jiheshimu bamdogo
Honourable speaker KILESI🕊️29,025 görüntüleme • 2 ay önce

Duuh Tanzania Revenue Authority Hii imekaaje🤔
Honourable speaker KILESI🕊️23,713 görüntüleme • 1 ay önce

Nikajuaga makonda anamuonea huyu bamdogo kumbe jamaa ni jalala kabisa😂😂
Honourable speaker KILESI🕊️18,858 görüntüleme • 2 ay önce

Kwa akili za akina ridhiwan utapawapi kujua kuwa katiba mpaya ni muhimu? kwa akili za akina katambi utapata wapi kujua kuwa kuiosoa serikali si kosa kisheria Bali ni moja ya utekelezaji wa majukumu yako kama raia mwema? kwa akili hizi za akina Abdul utapata wapi kujua kuwa utekaji na upotezaji wa raia ni kosa kubwa zaidi ya ugaidi, hii serikali haram hii inayowalazimisha askari kusema kidumu chama cha mapnduzi na wakigoma wanaambiwa unamjua anayekulipa mshahara!? As a nation, we desperately need profound change. Even if achieving that change comes at a great cost, we must remain committed to pursuing it through peaceful, democratic, and lawful means that protect lives and uphold justice.
Honourable speaker KILESI🕊️14,177 görüntüleme • 1 ay önce

Hapa ccm hawataki kuambiwa kitu kabisa, ila jamaa ka questions kisomi zaidi💯
Honourable speaker KILESI🕊️16,345 görüntüleme • 2 ay önce

Hizi dini hizi 😅😅😅🙌 Mwaka 1997, Marekani: Wanachama 39 wa dhehebu la Heaven’s Gate walijiua kwa pamoja wakiamini chombo cha angani kingewapeleka “ngazi ya juu ya uwepo.” Tukio hili lilibaki kuwa somo la hatari ya imani potofu, kujitenga na jamii, na ushawishi wa kiakili.
Honourable speaker KILESI🕊️24,887 görüntüleme • 3 ay önce

Tanzania ndio nchi pekee yenye maaskari feki na waziri wa mambo ya ndani analijua hilo na hawashughulikiwi, Wao wanasema wana intelligensia ya hali ya juu lkn kwa kuwakamata na kuwapoteza wanaoikosoa serikali, Inteligensia yao haiwezi kuthibiti utekaji kabisa inteligensia yao ipo kuwakamata na kuwatesa vijana wa CHASO,na viongozi wa upinzani pamoja na wanaharakati, Inteligensia yao ipo Kwenye kuwasaport magaidi kama akina mwaipopo na hao police feki wanaosema wao, ukiskia nchi ya kusadikika basi Ndio Tanzania ya mama kizimkazi.
Honourable speaker KILESI🕊️12,338 görüntüleme • 1 ay önce
3:50
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Hii BBC documentary kuhusu Lissu is so sensitive. Ukiiangalia unaweza kujihisi you're not safe as an activist. Yaani unaweza kujihesabu kama a walking dead kwa uozo uliopo kwenye Serikali yetu. Serikali imegeuka kuwa Yakukanusha kila kitu kile kitakachochapishwa na gazeti au media yeyote as long as inaelekeza jinsi Serikali ilivyo oza na kukandamiza wananchi, Yaan hata Rais akijamba, utasikia tu public statement: "Mheshimiwa Rais hakujamba, alikwaruza meza." 😂
Honourable speaker KILESI🕊️12,045 görüntüleme • 1 ay önce

Subject: Request for Investigation into Alleged Political Violence and Intimidation in Tanzania To the Office of the United Nations High Commissioner for Human Rights, United Nations I respectfully submit this communication to request an independent investigation into allegations of political violence and intimidation in the United Republic of Tanzania. On 4 July 2026 in Dar es Salaam, an incident was recorded on video and has since circulated publicly on social media. I have attached the available video and related materials for your review. I believe these materials warrant independent examination. I am concerned that the incident, together with other reported events, may indicate intimidation of civilians and could have implications for the enjoyment of fundamental human rights, including freedom of expression, peaceful assembly, and political participation. The group allegedly involved in threatening citizens who participate in demonstrations identifies itself as "Chui Weusi." According to publicly available videos, the group's leader is identified as Sheikh Mwaipopo, who appears speaking in the attached video. I am concerned that, to my knowledge, the Tanzanian authorities have not publicly denied these allegations or announced any investigation or questioning of the individuals involved. This has contributed to a public perception that the group may be operating with impunity. I respectfully request that these matters be independently investigated to determine the facts, including whether any state actors have supported, tolerated, or failed to prevent unlawful intimidation or violence. I respectfully request that the United Nations United Nations review the attached evidence, verify the facts through an independent and impartial process, and, if appropriate, engage with the relevant authorities to ensure accountability and the protection of human rights. Thank you for your attention to this matter. Yours faithfully, Hon.Kilesi from Dar Es salaam 🇹🇿 Tanzania
Honourable speaker KILESI🕊️13,405 görüntüleme • 1 ay önce

Ukiangalia hii bila ku-smile utakuwa Una suffers from permanent straight face syndrome.😅😅
Honourable speaker KILESI🕊️22,199 görüntüleme • 3 ay önce

Hii nayo ni humiliation😡💔,kumaanisha TAL kakurupushwa usingizini na kuambiwa twendetwende😭, wamemwarakisha mzee atoke akiwa hajajiweka sawa kuja kusimama mbele ya audiance,? hii mijibwa hivi yanajua kuwa LISSU Yupo gerezani kwaajili ya kuwatetea wao? muda ni rafiki mzuri, kila kitu kitakuwa bayana, usikate tamaa mzalendo🔕
Honourable speaker KILESI🕊️22,188 görüntüleme • 4 ay önce

Cjui hapa uncle alitaka kusemaje kabisa, nachanganyikiwa kabisa
Honourable speaker KILESI🕊️11,820 görüntüleme • 2 ay önce