Loading video...
Video Failed to Load
Asee nimecheka so kitoto๐๐๐
28,816 views โข 3 months ago โขvia X (Twitter)
40 Comments

Madeleka kichwa sana ๐

Gaidi kapiga picha na rais,๐

Acha Utoto basi Madereka, Na Unaongea kama Wanao Kusikiliza Wote Watoto pia. Mbowe alipews Msamaha na Mahakama kwa Kumuombea sana asamehewe Kosa lake na wewe ulikuwa Miongoni mwa Waliokuwa wanaomba Mbowe asamehewe. Na aliposamehewa ndipo alipopata Bahati ya Kuitwa na Rais na akapiga Picha n Mh Rais. Acha Kupotosha watu Bro Tumia Elimu yako kuelimisha.

mtag sasa umuambie

@PeterDafi Amtag au sio๐๐

@PeterDafi ndio hivo๐

Huyu wakili nae ataitwa gaidi soon

๐๐๐

๐๐

๐๐

Anakula Bata tu mtaani!

๐ฏ๐ฏ

Sasa watu wasibadlike baada ya kutoka jela๐คฃ๐คฃ๐คฃ????

hiyo cyo kubadilika,๐

Kaka hiyo ni rapid colour change๐คฃ๐คฃ๐คฃ

Maswali ya fikra tunduizi

๐๐

Hayawezi kujibiwa kizembe lazima uwe na akili tunduizi

Uyu jamaa nashindwaga kumuelewa๐๐ni familia au sio

๐๐

๐๐๐

Amesahau rais wa Syria alikuwa gaid na seiv anaenda mpaka kwa tramp

๐๐

Ujuwaji mwingi kichwani hamna kitu

๐๐๐

Gaidi anaombewa vipi msamaha kesi ikiwa inaendelea, DPP aliamuwa kufuta kuogopa aibu. Hivi huwa kuna utaratibu wa mtu kuombewa msamaha wakati kesi inaendelea mahakamani siyo akipatikana na hatia na kufungwa ndipo Rais anaweza kutoa msamaha kama alivofanya Magu kwa Babu Seya

Huyu jamaa yuko smart kichani

๐ฏ๐ฏ

Nadhani yupo sawa na Mwaipopo

nani sasa

Mbowe

kabisa๐

๐๐

๐๐ซต

๐๐๐

sema Ugaidi

๐คฃ๐คฃ๐คฃ

๐๐

Mbona Rais wa Syria alitangazwa Gaidi ila Leo anapiga picha na Trump na Viongozi wa Ulaya

Ingawa siamini kwamba mbowe na lisu magaidi. Ila kujibu tu hoja ya hujamaa Trump na kiongozi wa zamani wa Al-Qaeda - Iraq wapozao White House ๐
