
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข
@Chahali โข 222,512 subscribers
Editor, Ujasusi | Intelligence & Security Analysis โข Former Tanzania Intelligence Officer | New Book: A Spyโs Guide To Deception๐
Shorts
Videos

Guess what? Huyo Brigedia Jenerali Fabian Machemba alikuwa classmate wa #Jasusi huko Tabora Boys. Apparently, licha ya kuzalisha viongozi mbalimbali huko nyuma, Tabora Boys pia ilizalisha maafisa wengi wa Idara ya Usalama wa Taifa. Je Tabora Girls nayo ni hivyohivyo? Labda Miss Faith (@la_fe_ufoo) atatueleza โบ๏ธ Lakini hiyo hadhi ya Tabora Boys ilikuwa kabla ajira za taasisi hiyo hazijakuwa kwa ajili ya ndugu, jamaa na marafiki wa vigogo PEKEE... na kwa kiasi flani YuViSiSiEmu. Back to aliyoeleza mdau, it's sad kwamba raslimali za kiintelijensia dhidi ya maadui HALISI wa Tanzania zinaishia kutumiwa dhidi ya Watanganyika wasio na hatia. Pengine huko mbeleni kutakuwa na umuhimu wa kuwapata watu wenye uzoefu/uelewa wa mambo hayo ya jeshi, polisi na hata intelijensia, yaani kama akina KAPTENI TESHA kuwaelimisha wananchi kuhusu jinsi ya kukabiliana na hao maharamia. Jasusi is always available lakini anatambua kuna wengi tu hawamuamini, so he understands akikwepwa ๐ข
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข27,090 Aufrufe โข vor 26 Tagen

Anaitwa Profesa Marcelina Chijoriga, Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere. In case you are wondering, huyu ni profesa wa taaluma sio wa tunguri kama Prof Manyaunyau! Ndo maana #Jasusi aliachana na ndoto za kusaka uprofesa. Itโs pretty much useless nowadays!
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข61,430 Aufrufe โข vor 8 Monaten

Ile kozi ya bure ya akili mnemba itaanza siku chache zijazo. Ni muhimu sana kupata ujuzi wa akili mnemba japo kiduchu kwa sababu Mwaka huu 2026 utatawaliwa na vita vya habari ambapo kwa wasio na uelewa wa kutosha itakuwa vigumu kutofautisha kati ya fact vs matango pori. Enewei #Jasusi ameona wadau wengi wakihisi kuwa hiyo clip ya hotuba ya #Chinjachinja ni AI. Kwahiyo ili kujiridhisha, akaipandisha clip hilo #ChatGPT, na majibu ndo hayo baada ya hotuba ya chinjachinja. Na ChatGPT ipo vizuri sana kubaini kama picha au video ni halisi au fekero/famba. Cha muhimu zaidi ni asilimia ya uhalisi/ufeki. Again, majibu ya ChatGPT, sio ya Jasusi...in case hujayapenda.
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข31,577 Aufrufe โข vor 6 Monaten

Chinjachinja kuna ujumbe wako huko na mwanao elijibitikyu
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข30,687 Aufrufe โข vor 8 Monaten

#Jasusi pia amesikia hili la SAMIA kuweweseka. Lakini hata bila kufahamu hilo, ile speech ya juzi imetoa clues kibao. Ofkoz, "watetezi" walisema alikuwa bwax lakini TBH there were signs of more serious problems. Is she medically fit kuongoza JMT? [That's a rhetorical question]
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข24,024 Aufrufe โข vor 7 Monaten

It's true Abduli na Kitengo chake cha ovyo wanapanga kuwatumia YuViSiSiEmu kuharibu maandamano ya #D9
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข23,780 Aufrufe โข vor 7 Monaten

So #Jasusi anaomba kukupatia darasa fupi lakini muhimu sana, nalo ni kwamba kwenye ujasusi ni muhimu mno kusikia kilichosemwa lakini hakikusikika (sio kwa sababu sauti ilikuwa chini bali kimetamkwa kivingine). Kwa wakati wako, unaweza kubaini moja au mawili au hata matatu ambayo Butiku kayasema lakini hayakusikika? [Hiyo video ni ya akili mnemba japo sauti ni halisi]
๐๐๐ฌ๐ฎ๐ฌ๐ข16,963 Aufrufe โข vor 6 Monaten