
Depedro Dee (Ed.S.)
@depedrodeniss • 6,202 subscribers
Global Engagement Specialist at WMU. Global Shaper, James Madison University Alumnus. Fulbright scholar. Simba SC, Manutd & Boston celtics. GOD'S ENGINEERING
Videos

Ninawashukuru rafiki zangu ambao mmetukimbilia katika msiba huu. Mlifanya jitihada za kufika nyumbani Kiluvya Dar na wengine kijijini Machame. Tena mlifika bila kuwasiliana nami kwa kuwa sikuwa online. CoCo🍫 Ms_Genya DorothNengai na my brother Fred Kavishe Nawashukuru pia baadhi waliotuma rambirambi, Mungu awabarikini sana. Pia wote mlionitext hapa kunipa pole...Nafarijika sana kwa maombi yenu.. Mungu awatunze. Wote ambao mlishaondokewa na Baba zenu, poleni sana. I now know what it feels like. Kifo ni kibaya sana. Kina uchungu mwingi. The layers we have to unpack as we mourn our father are unbearable 😣
Depedro Dee (Ed.S.)18,997 görüntüleme • 2 ay önce
Daha fazla içerik yok.