EastAfricaTV's banner
EastAfricaTV's profile picture

EastAfricaTV

@eastafricatv2,062,968 subscribers

Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]

Shorts

Kabla hujaoa tembelea Rwanda 🇷🇼 kidogo, utanishukuru baadae 💃 - ✍️ shneida_infos 🎥 Rwanda_updates_official

23,235 просмотров

#VIDEO Mama wa marehemu Neema Sanga, analia kwa uchungu wakati akitoka ndani kuelekea Mnazi Mmoja kwa ajili ya mazishi ya Kitaifa, analia akidai kwanini hajasaidiwa kuwaokoa watoto wake mpaka wamefariki kwenye ajali ya kuangukiwa na ghorofa iliyotokea Novemba 16,2024. #EastAfricaTV

82,264 просмотров

#VIDEO Jeshi la Polisi, Kikosi cha Farasi kimezingira na kufanya doria kali katika maeneo yote ya Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu Dar es Salaam, pamoja na maeneo ya karibu na Mahakama hiyo. #EastAfricaTV

65,895 просмотров

Sikia kionjo hichi cha wimbo mpya wa Alikiba x Harmonize 'Utanionea' ambao utaachiwa rasmi siku ya Ijumaa hii. Tayari #Alikiba ameshea nasi video hii akiashiria ngoma hiyo ipo tayari kutoka. Wangapi mlikuwa mnasubiria kwa hamu ngoma yao ya pamoja? #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha

11,102 просмотров

#VIDEO Katika hali isiyo ya kawaida, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alisimamishwa kwa muda mfupi na polisi katika mitaa ya New York jana Jumatatu Septemba 22, 2025 ili kupisha msafara wa Rais wa Marekani, Donald Trump, na kumfanya ampigie simu kwa mzaha kuhusu hali hiyo. #EastAfricaTV

14,307 просмотров

#KIPENGAXTRA: KUELEKEA MCHEZO WA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA Timu ya Yanga kupitia Afisa habari wake Ally Kamwe alitangaza kuwakabidhi wazee mechi hiyo na kusema ikitokea wamefungwa basi ni wao. ''Hii ni rasmi kwa ajili ya wazee na tunategemea siku hiyo, wazee wawe wengi sana japo kuwa stori za mtaani wanasema Yanga wamewapa wazee lakini Simba wazee ndiyo wachezaji'' - Movich Cc: Movich Mr.Facts⚽️ #EastAfricaTv #EastAfricaRadio #KipengaXtra #Michezo #HainaKuchoka

10,795 просмотров

Videos