(---) Onesmo Mushi's banner
(---) Onesmo Mushi's profile picture

(---) Onesmo Mushi

@EduTalkTz43,223 subscribers

Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely — Lord Acton

Shorts

😂😂😂😂😂😂 Aaaah nimecheka kinoma!

😂😂😂😂😂😂 Aaaah nimecheka kinoma!

196,616 просмотров

Mtukufu mama Samia Suluhu , kuna ujumbe wako hapa kutoka kwa mwanamke mwenzako. Cheers!

100,780 просмотров

😂😂😂😂😂😂😂 Fala sana!

😂😂😂😂😂😂😂 Fala sana!

149,455 просмотров

Jamaa anamaanisha nini hapa?🤔

Jamaa anamaanisha nini hapa?🤔

68,831 просмотров

Wow, ukweli una tabia moja mbaya sana, haujui kuficha siri😎. Ni kama mimba!

25,420 просмотров

Kipindi hicho Job Ndugai alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe. Humphrey Polepole alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe. Abraham Kinana alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe. Magufuli mwenyewe alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe. Bernard Membe alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe. Thadei Ole Mushi alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo safe. Ole Sabaya alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yeye ameshika kwenye mpini. Mpina alikuwa anasikiliza na kucheka akiamini yupo salama. Wakina Nape, January Makamba, Tulia etc., walikuwa wanasikiliza na kucheka wakiamini wapo very safe. Leo wote hawa ama ni marehemu au ni wafungwa kwenye open prison, hakuna hata mmoja aliyepo safe kama alivyofikiri. Mwalimu Nyerere aliona mbali sana aliposema “UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI ENDAPO UTAPUUZWA.” Tusome tena ANIMAL FARM, kuna mengi kwenye kile kitabu.

19,849 просмотров

Haya maelfu unayoyaona kwa huyu tapeli wa madhabahu, Mwamposa, ni watanzania desperate. Umaskini na magonjwa vimewakatisha tamaa kabisa kiasi kwamba wamepoteza tumaini. Wanaamini shetani ndio chanzo cha matatizo yao na Mwamposa anafanya kazi ya kuwapa anesthesia waendelee kufikiri hivyo hivyo. June 2023 Rais Samia Suluhu alimtumia Mwamposa “sadaka ya shukrani” kupitia Mkuu wa Mkoa Chalamila. Hiki kinachoitwa “sadaka” ni jina tu la kutakatifusha pesa haramu inayotumiwa kuhonga viongozi wa dini kwa kazi nzuri ya kuupumbaza umma. Ni rushwa ya wazi pia inayotolewa na viongozi wa serikali ili kujitengenezea political legitimacy. It’s all about kleptocracy.

51,185 просмотров

“Walioandamana walilipwa na watu kutoka nje, tupo kwenye vita ya uchumi.”🤐🤐

21,908 просмотров

Sio muda mrefu hatutawahitaji tena wale wagumu wanaopandisha watalii pale mlima Kilimanjaro. You might be wrong to think this is futuristic!!

25,063 просмотров

Videos

EduTalkTz's profile picture

Kwa hali hii mtaua hawa vijana mpaka mtachoka😂😂.

(---) Onesmo Mushi

33,588 просмотров • 1 месяц назад

EduTalkTz's profile picture

Nimecheka kinoma😂😂!

(---) Onesmo Mushi

178,339 просмотров • 1 год назад

EduTalkTz's profile picture

Media zenyewe ndio hizi za wakina Kamwaga??🤔

(---) Onesmo Mushi

21,706 просмотров • 1 месяц назад

EduTalkTz's profile picture

Umaskini, Uzembe, business as usual, au nini haswa??🤔

(---) Onesmo Mushi

12,974 просмотров • 29 дней назад