
(---) Onesmo Mushi
@EduTalkTz • 43,223 subscribers
Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely — Lord Acton
Shorts
Videos

Wakati serikali ya MTUKUFU SAMIA inatumia trillion moja kodi ya watanzania maskini kugharamia SAFARI ZA WATUKUFU VIONGOZI, kijana mbeba mizigo pale Manzese ambaye mtoto wake hana hata dawati ndio kwanza yupo busy kumpigia chapuo MTUKUFU MTAWALA. #MtawalaSioMamaYako
(---) Onesmo Mushi11,171 次观看 • 16 天前

Tundu Lissu ni aina ya wapambania haki wanaotokea mara chache sana kwenye jamii fulani. Namfananisha sana na Yesu, sio kwa uMungu bali kwa uthubutu kwa kuwakabili wenye mamlaka bila kuhofia kulipa gharama. Ni kundi la wakina Socrates, Gandhi, Mandela, and the like. 🙌🏿
(---) Onesmo Mushi10,755 次观看 • 17 天前

Msafara wa Katibu wa CCM, wala sio kiongozi wa serikali. Mabilioni ya pesa yanayotumika kugharamia haya ndio mabilioni ya pesa ambayo hayatumiki kuboresha hali ya elimu, fursa za ajira kwa vijana, na social welfare. Ni bahati mbaya tumeyakawaidisha na sasa yamekuwa haki kwao.
(---) Onesmo Mushi22,542 次观看 • 1 个月前

Katikati ya majonzi ya ukatili mkubwa unaofanywa na dola ambapo maelfu ya watanzania wenzako wameuawa, anakufuata DM mtu tu kutoka South Africa. Mazungumzo⬇️ Mtu: Oya, kwema aisee? Wewe: Kwema, niaje? Mtu: Poa. Sisi ni Ford Foundation, tunawalipa wanaharakati kibao Tanzania wafanye mapambano lakini hawasemi chochote kutushukuru. Kwa sababu wewe una followers wengi, tunataka utushukuru kwa niaba yao. Wewe: Poa poa, nimeshapost kuwashukuru kwa niaba yao kwa “kutupa billion.” Seriously??🤔
(---) Onesmo Mushi20,167 次观看 • 1 个月前