
Pancras Flahisha
@flahisha • 9,355 subscribers
✨ Health | Love | Business | Growth 📌 SARCASM/REALLY/TIMING 🙏DON'T MIND MY TWEET 💡 Deep Psychological Wisdom ❤️ Real Love & Relationship Tips 🚀 GOD IS GOOD
Shorts
Videos
2:31
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Mtoto wa kiume analindwa kwa wivu mkubwa mnoo... 50/50 , Haki sawa, malezi, teknolojia, Sheria za kidwanzi, malezi, tabia za ushoga kuchukuliwa kuwa ni wa kawaida na mitandaoni wanawake 80-90% wanasapoti saana , comment, likes, and wanawasapoti saaana eti wanauza vipodozi oooh ni wafanyabishara oooho wanajua kuchamba sasa; subiri huyo shoga awe kijana wako wa kiume ndo Utaelewa.. Bora Dogo awe mw*z* aib* adakwe ach*mwe m*to, au jela ujue Dogo yuko salama huko alipokwenda kuliko kusababisha na wanao wengine kuwa mashoga.... Good Morning JE WALE WATU WA HAKI ZA BINADAMU MTUAMBIE JE HUU NI UZALILISHAJI? JE ANGECHUKUA HATUA GANI TOFAUTI NA HII? JE KAMSAIDIA/KUSAIDIA JAMII AU KAMUONEA? Good Morning Once Again
Pancras Flahisha15,757 Aufrufe • vor 4 Tagen

MANENO MAZITO SANA HAYA Mhhh!!! "Mimi nitakuwa Mtu wa kwanza kwa nafsi yangu mwenyewe.... nitasema sisiemu ikataliwe kwenye uchaguzi Mkuu" "Mimi namuomba Mungu nikiwa Mzee nisiwe kama wao" "Tulifanya Mchezo na Mchakato wa Katiba" "Katiba inayopendekezwa Haifai" Maneno yanayoishi kwenye Mitandao ya kijamii milele ata milele mpaka mitandao itakapokufa......
Pancras Flahisha36,580 Aufrufe • vor 13 Tagen

Jamaa anadai kusoma SAANA ni ujinga au kupoteza MUDA , kusoma msome ila msisome SAANA Jamaa anadai kufanikiwa kumefichwa kwenye matokeo, watu wanamafanikio na hawana ma PhD My friend kila Mtu anahatima yake kwa kila anachofanya Billionea wengi wamesoma ila SIO SANA so SOMA-2
Pancras Flahisha89,091 Aufrufe • vor 1 Monat

Usichukie Dunia ndivyo ilivyo; Kuna mtu anazaliwa kuna mwingine anakufa , kuna mwingine anapata kuna mwingine anakosa, kuna mwingine anazaa hana ata mia kuna mwingine anamahela anapambana na IVF kutungisha mimba Hormones zinamkataa, kuna mwingine anazaa anakufa mtoto anapona.
Pancras Flahisha51,452 Aufrufe • vor 1 Monat

HII VIDEO NTAIPOSTI TENA MIAKA IJAYO INSHALLAH; Hakika Hatuto ishi Mileleeeeeeeeeh
Pancras Flahisha44,092 Aufrufe • vor 1 Monat

Kuanzia Leo wewe Ni Dereva wa Automatiki Car.... Habari yako Dereva usiye na Gari. 🤣🤣
Pancras Flahisha35,364 Aufrufe • vor 1 Monat

Muhubiri wa neno la Mungu, mkazi wa wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, aitwae Evod Medson, amedai kuwa amejikuta kwenye hali ya sintofahamu wakati akitoa mahubiri, baada mwanamke mmoja kumtaka akatishe mahubiri mara moja, kwa tuhuma kuwa mahubiri hayo yanaleta usumbufu
Pancras Flahisha20,435 Aufrufe • vor 26 Tagen