Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Huyu jamaa kabira gani? 🤣🤣🤣😂😂😂
38,341 просмотров • 1 месяц назад •via X (Twitter)
Комментарии: 21

kwa Kiswahili Ukiona mke wako amefikia hivi kulala na nguo lakini ukimshika yupo hivyo we mrudishe kwao

Mwamba yupo sahihi,,,,aliimbia bushoke haya mambo zamani

Daaah jau saana

Ana sema kugongewa is real

Huyu kisha mlamba

Msukuma huyo

Wasukuma naskia ndo kabira number moja kwa kuteswa na mapenzi karne hii

Ngosha analia nini apo? Wasukuma tafsiri hii

Eti analilia unyumba wanasema eti anaomba serikali iskie kilio chake 😂😂😂

Ole chiza Lolo ngosha.

😂😂😂

@TonnyUnfiltered Mwamba kashatendwa

@TonnyUnfiltered Follow back mkuu

😂😂😂😂👌

Hatari saana

Nipo kwenye daladala nineangalia video bila saut sijaelewa🥹

Ulitaka utembee kwa ulimi na miguu unayo? Achilia sauti 🤣🤣🤣 Jamaa anaongea kilugha

Alie elewa jamani, atu tafsirie

Nimesikia mzungu wa nne hali si swari apo

Mwamba inaonekana anapigiwa nje

mwamba yupo sahihi kabisa 😀😀
