Hilda Newton's banner
Hilda Newton's profile picture

Hilda Newton

@HildaNewton21 • 959,582 subscribers

Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045

Shorts

‼️MBUNGE HARAM WA CCM ALIKUWA ANASHIKILIWA KISA VIDEO ZA UTUPU ZA MWIGULU‼️ Mbunge haram wa CCM Mariam Ditopile ALIKUWA anashikiliwa kwa tuhuma za kwamba amesambaza picha na video za utupu za Mwigulu Nchemba. Iko hivi Mwigulu aliopoa demu, akaenda kulala nae then huyo demu akamrekodi video na kumpiga picha za kutosha akiwa wa MNYAMA bila Mwigulu kujua, sasa moja kati ya watu ambao huyu Demu aliwatumia izo video ni pamoja na huyu Mariam Ditopile. Video zipo tatu moja ni hii ambayo nimepost maana iko na afadhali japo anakoroma kama Jenereta.🤧 Video nyingine karekodiwa akiwa anakula mzigo na nyingine akiwa amejiliza chali kwa uchovu baada ya kula mzigo huku akiwa ameacha mazaga yake nje, yani ni mambo ya aibu sana aiseee Nakumbuka baada ya Polisi kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29, 2025 Mwigulu alikuja hadharani na kejeli za kutosha alidhihaki sana ndugu zetu waliouwawa kwa risasi akasema Polisi walikuwa sahihi kuua ndugu zetu kwa risasi.

Sensitive content

396,374 views

Naona Wakili Paul Kisabo hacheki na wowote.😎

56,488 views

Kwako Godbless E.J. Lema Nchi yetu bado inaomboleza msiba wa Oktoba 29 kwasababu mpaka sasa hakuna dalili hata robo za uwajibikaji juu ya watu walioua ndugu zetu. Sasa unawezaje kumwambia “Let’s Love Lead, Mama!..” Mtu ambae ameua kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi, akaona haitoshi akaiba maelfu ya miili ya Ndugu zetu akaenda kuizika kama mizoga kwenye makaburi ya halaiki.??? Halafu mtu huyo huyo (Nduli Idd Amin Mama) bila aibu wala huruma akaja hadharani na kuanza kukejeli ndugu zetu aliowaua, akasema Polisi walikuwa sahihi kuua ndugu zetu kwa risasi. Umejaribu hata kufikiria familia ambazo wapendwa wao waliuwawa Oktoba 29, 2025 wengine hawakubahatika hata kuona miili ya wapendwa wao hadi leo, wakalazimika kuzika nguo, Je wakisoma hiyo post yako unadhan wanajisikiaje???? Tangu 2021 alipoingia madarani Nduli Idd Amin Mama huyu ambae unamwambia “Let’s Love Lead, Mama!..” hadi leo, ameteka na kupoteza watu zaidi ya 400 na bado anaendelea kuteka, kati ya hao waliotekwa wengine ni wapambanaji wenzetu ambao tulikuwa nao mstari wa mbele Deusdedith Soka, Mdude, Dionizi Kipanya, Juma Kaswahili, Aman Manengelo, Mbeshi Paul, Ally Kibao, Jacob Mlay, Injili Iponyayo Roho, Abednego, Humphrey Polepole, Daniel Chonchorio na wengine wengi list ni ndefu sana. Je familia zao zikisoma huo ujumbe wako unadhani wanajisikiaje, yani Bibi ake Soka au mke na watoto wa Mdude au Mama ake Humphrey Polepole, Mke na Watoto wa Ally Kibao wakisoma ujumbe wako unadhan wanajisikiaje???

33,184 views

Mapolisi wa Idd Amin Mama watakuwa wanasonya tu maana wamepigwa chenga ya mwili, wamebana weee lakin mwisho wa siku tshrt zimevaliwa na ukumbi umependeza.👌 NB. Hii ndo tshrt ambayo Uongozi wa Magereza wamemzuia Mhe. Lissu kuvaa #16BulletsSurvivor #September7th #TunduLissuDay

30,976 views

Leo Wanaharakati wa Kenya wameandamana hadi Ubalozi wa Tanzania na Uganda nchini Kenya, wakizitaka mamlaka zimuachilie huru Tundu Antiphas Lissu na Kizza Besige, wanaharakati hao wameipa masharti Serikali ya Kenya. Wanaharakati wa Kenya wamesema Kifefe Kizza-Besigye alitekwa nchini Kenya akapelekwa Uganda na kufunguliwa mashtaka ya UHAINI. Wanaharakati hao wametishia kufunga Balozi za Tanzania na Uganda katika maandamano yajayo leo wametuma salaa tu.

32,236 views

Leo asubuhi Makam Mhe. @hechejohn akifanya jogging na Vijana wa Chama. Ila hii nyimbo anaimba Advocate ,,sailence Mwakasala na wenzake ni 🔥🔥🔥

39,735 views

Jana wakati mjadala unaendelea kwenye #MariaSpaces David Nkindikwa alisikika akiongea kwa taharuki kwamba “Kuna watu wananisikiliza” baada ya hapo akapotea hewa. Kwa akili za kawaida huu muda aliopiga kelele kwenye Space ndo muda ambao alichukuliwa na hao watu ambao mpaka sasa hatujui ni akina nani? #FreeDavidNkindika

53,816 views

‼️ALERT ‼️ Huyu kwenye hii clip ni Sheikh Ubwabwa, Mwaipopo akiwa kituo cha Polisi Shauri Moyo Nairobi hii ilikuwa Mwaka 2022 Mwaipopo alipowaomba pesa Watanzania (Waislam) ambao wanaishi Oman aliwambia anaomba pesa kwa ajili ya kulipa Mawakili na kuhonga Polisi wa Kenya ili wamwachie huru, sasa alipoona ni kama watu wa Oman wamemshtukia ikabidi arekodi hii video na kuwatumia Watanzania walioko Oman ili wamuamini. Hapa alikuwa bado hajajua kama wenzake washajua kwamba kesi yake sio ya Ugaidi na yeye alikuwa amekomaa kusema anatuhumiwa kujihusisha na Ugaidi kwasababu ya dini, wakati ukweli ni kwamba ilikuwa ni kesi ya utapeli wa fedha na wenzake walikuwa shajua.😂😂😂😂 Mwisho wa siku alivoona watu wote wamempotezea ilibidi atafute njia alirudishe pesa zote alizotapeli watu ndo akaachiwa. Imagine huyu Tapeli ndo Nduli Idd Amin Mama anamtumia kutukana, kutisha na kushambulia wakosoaji wake.🚮

52,944 views

Jana Nduli Idd Amin mama alitegesha, apige simu awasalmie millennials akaishia kuzomewa 😂😂

44,066 views

Leo nilikuwa napita zangu mitaa ya Gaza- Kimara hiki ndo nilichoshuhudia. Wajeshi wa JWTZ wamemwaga ili kutisha wananchi hii ni baada ya kuona Maandamano ya 7/7 yameshika kasi kila kona ya nchi. Nduli Idd Amin Mama na genge lake wamepanic sana. #77Tunatoka #7UP

42,295 views

‘Gaidi’ Mnyawami akiteta jambo la Wakili wake Peter Kibatala.

30,615 views

Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia Mwananchi kwa marungu na mateke.😭

106,191 views

HAKUNA ALIYESALAMA Anaandika Mdau kutoka Geita👇👇👇 Hapa ni Ililika-Nyarugusu Geita imetokea RUSH Mpya ya Uchimbaji wa Madini. Kama kawaida wakajitokeza watu wengi kwa ajili ya usimamizi na Moja ya kundi lililojitokeza ni UVINYA Umoja wa Vijana Nyarugusu, Hili ni kundi kubwa la vijana hapa Mgodini ambalo lina watu wengi wenye uzoefu mkubwa wa uchimbaji na wengine wakiwa wajasiliamali na wafanya biashara wadogo wadogo. Walifika kwa ajili ya kuomba tenda ya kusimamia rush, na wakaja na vifaa vya kujenga nyumba ya muda(temporary residence) walikua na vifaa kama mbao nk. Sasa alitokea mtu mwenye bunduki na kuaza kuamuru vifaa hivyo viondoshwe haraka sana! Mzozo ukawa mkubwa bwana huyu alishika bunduki akaanza kutumia kitako cha bunduki kumpiga huyu kiongozi wa UVINYA! Huyu kiongozi wa UVINYA ni mwanaccm tena mjumbe katika serikali ya Kijiji hiki, in short ni wale ccm kihere here. Huyu kada wa CCM ameumizwa sana na askari huyu ambae alikua akisema kwamba yeye anamaelekezo kutoka juu ni Askari mwenye rasta na mwenye muonekano ambao si wa kiaskari, Mashuhuda kadhaa wa matukio ya Oktoba 29 wanasema kwamba huyu Askari ni miongoni mwa Askari waliokua wakimimina risasi kwa raia mjini katoro siku ya Oktoba 29, 30,31 na Nivemba 1 Haya hivyo huyo Kada wa CCM pamoja na kipigo chote icho waliondoka nae na sasa anashikiliwa kituo cha Polisi, Wamemnyima hata huduma ya kwanza licha ya kwamba anajereha kubwa kichwani.

70,388 views

Kumbe yale makofi ya jana yamewauma sana naona leo Mwigulu katoa mlio.😂😂😂

63,769 views

Wabunge haram wakiongozwa na ester amos bulaya wanasema kwamba Serikali ya Marekani imewahukumu maccm bila kuwapa nafasi ya kujitetea. Sasa wao kabla hawajawapiga risasi na kuwauwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi waliwapa nafasi ya kujitetea.?

42,354 views

Nduli Idd Amin Mama akiona hili tabasamu anaumia sana.

39,908 views

Hii video mpya ya Oktoba 29, Wananchi wanasikika wakisema Serikali inavunja Katiba. Halafu Nduli Idd Amin Mama anasema waliondamana walikuwa hawajui kwanini wameandamana kwamba hawakuwa na sababu walifuata mkumbo.🚮🚮

39,210 views

Limama liuaji halina hata aibu. 🚮 🚮 🚮

Limama liuaji halina hata aibu. 🚮 🚮 🚮

50,291 views

Tumerudi Mahakamani, Mhe. Lissu anasema kuanzia leo atabaki jela kwa sababu ya uchaguzi tu ila kesi imeshaisha, Mhe. Lissu anashangiliwa sana hapa.

59,848 views

Videos

HildaNewton21's profile picture

‼️MWANAJESHI WA UGANDA AMEANZA KUACHIA VIDEO/PICHA ZA WATU AMBAO WAMETEKWA NA UTAWALA WA MUSEV NA KUFICHWA KWA ZAIDI YA MWAKA‼️ Mwanajeshi wa Uganda Luten Mabonga Herbert Matanda ambae alikuwa mshirika mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Mseven pamoja na Mwanae Gen. Muhoozi Kainerugaba. Luten Matanda ni moja wa maofisa wa Jeshi la Uganda ambao walikuwa ana access na nyumba ambayo Museven na mwanae walikuwa wakiitumia kuficha na kuwatesea watu ambao wamekuwa wakiwateka wakiwemo Wanaharakati, Wanasiasa wa Upinzani na watu ambao wanakosoa Serikali ya Uganda. Nyumba hiyo ipo karibia na Ikulu ya Uganda. Muda wote ambao Luten Matanda alikuwa akifanya kazi na Museven alikuwa anarekodi matukio yote kwa simu yake na kutunza kumbukumbu. Mwezi uliopita Luten Matanda aliamua kuvunja ushirika wake na Museven pamoja na mwanae, alisema kwamba moyo wake hauna amani kuendelea na kazi hiyo so kwasasa ameamua kusimama upande wa Wananachi. Tangu mwenzi uliopita anaachia ushahidi wa video za watu waliotekwa na Mseven, wengine tangu watekwe mpaka sasa ni zaidi ya Mwaka mmoja, ndugu zao walishalia msiba wakiamini kwamba huenda walishauwawa kumbe ndugu zao bado wapo hai ila wanahali mbaya kiafya kama mnavoona kwenye hii video na hawa ni baadhi tu ya waliotekwa ambapo wengi ni Wanaharakati na Viongozi/ Wanachama wa Chama cha National Unity Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine. Mtoto wa Mseven akishateka Wanaharakati na watu wanamkosoa Baba ake anawalazimishwa kuvaa fulana zenye picha au nembo ya Museveni kisha anawambia wamsifie Mseven kisha vikosi vyake vinaanza kuwapa mateso ya kila aina mbele ya Camera, Luten anasema wengine walikuwa wanapoteza maisha kwasababu ya mateso so walikuwa wanachukua miili Yao na kwenda kuizika porini.😭 Baada ya kuona video za Uganda nimepata matumaini kwamba kuna siku mtu mmoja ndani ya Jeshi la Polisi atakuja kufanya kama Luten Matanda lakin naamin huenda hata ndugu zetu akina Soka, Mdude, Kipanya, Aman Manengelo, Chaula na Humphrey Polepole huenda wapo hai.

Hilda Newton

48,061 views • 1 day ago

Nduli Idd Amin Mama kayatimba huko naona Wakongo wameanza kumpelekea moto.🔥🔥🔥
2:50

Sensitive content

This media may contain sensitive content.

HildaNewton21's profile picture

‼️HUYU NDO MWIGULU MNATAKA MIMI NIMUONEE HURUMA..???‼️ Hii ilikuwa November 25, 2025. Wakati Watanganyika tukiwa kwenye majonzi mazito sana baada ya Nduli Idd Amin Mama kuuwa kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi na kuiba maelfu ya miili ambayo walienda kuizika kama mizoga kwenye makaburi ya Halaiki. Mwigulu akiwa kwenye Mkutano wake na Wahariri wa Media zote Tanzania akaongea huu utumbo kuonyesha Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa sahihi kuwamiminia watu risasi na kuwaua. Yani tukiwa kwenye simanzi na maumivu makali ambayo hayaelezeki, wakati ambao kama Taifa tulikuwa tunahitaji faraja na uwajibikaji kwa wote waliohusika kuuwa ndugu zetu, Mwigulu alitoka hadharani na kusema-; “Watu waliingia barabarani kuandamana so mlitaka Polisi wafanye nini??…” Nduli Idd Amin Mama aliua ndugu zetu then Mwigulu baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu haram akaanza kufanya kazi ya kumsafisha na kutukejeli Watanganyika wenzake na juzi tu hapo katoka kutukejeli kuhusu matukio ya watu kutekwa na kupotezwa anasema Tanzania hakuna utekaji hiyo ni michezo tu. Huyu Mwigulu ni miongoni mwa watu walioshiriki 💯 kumfitini Nchimbi, hata baada ya Nchimbi kufutwa uanachama Mwigulu aliangusha bonge la part nyumbani kwake Masaki akaalika maccm menzake wakasherekea anguko la Nchimbi wakala, wakanywa na wakasaza. Sasa leo Nduli Idd Amin Mama ambae alikuwa anamsifia, anamtetea na kujaribu kumsafisha mikono yake iliyojaa damu za Watanganyika aliowaua Oktoba 29, kamemgeuzia silaha ndo anataka kila mtu amuonee huruma, hii haiwezi kumsaidia. Binafsi ukimtoa Nchimbi ambae siku zote alikuwa akihubiri Haki, hakuna mwanaccm ambae naweza kumuonea huruma kwenye izo vita zao za kutoana MAINI, mimi kazi yangu ni kuchochea kuni ili moto uwake yani nataka wapopoane mpaka ifike muda maccm yote hasa ya Tanganyika yajue hayako salama pengine yataona haja ya kuunga mkono Movement ya kudai #KatibaMpya

Hilda Newton

69,615 views • 15 days ago