
Hilda Newton
@HildaNewton21 • 955,315 subscribers
Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045
Shorts
Videos

‼️TUMENASA MAZUNGUMZO YA MADALALI WA PROJECT YA KUMSHAMBULIA MHE. HECHE‼️ Huyu anaitwa Shaban Mikongoro ni mpambe wa Susan Kiwanga na ni Kiongozi wa CHAUMA Mkoa wa Morogoro. Hii Sauti inayosikika hapa ni majibizano kati ya Mikongoro na Kiongozi wa BAWACHA Kanda ya Kati ambapo Mikongoro anasikika akimshawishi Kiongozi huyo akubali kufanya press ya kumtukana Mhe. John Heche kwa ahadi ya ujira wa milioni moja.😂😂😂 Nduli Idd Amin Mama na mwanae Abdul wanachezea kodi zetu kwa kuliipa hawa vibaraka wao ili wamshambulie Mhe. Heche kwasababu hataki kuimba wimbo wa Maridhiano. Sikiliza mazungumzo haya kwa makini mwanzo hadi mwisho ili uone hawa vibaraka wa CCM walivo na akili ndogo.🚮
Hilda Newton36,178 просмотров • 4 дней назад

SATIVA AMETIMIZA AHADI YAKE, SASA CHALLENGE MPYA NI MILIONI 200! 🔥 Watanzania mmeonyesha kwamba mkiamua, mnaweza. Baada ya kufanikisha lengo la TSh. Milioni 100, Sativa ametimiza ahadi yake kwa kuchangia TSh. Milioni 2 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma. Lakini safari haijaishia hapo. Sativa ametangaza Challenge mpya: Watanzania wakifikisha TSh. Milioni 200, naye atachangia tena TSh. Milioni 3 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma. Challenge imeanza! Tumeonyesha tunaweza kufikisha Milioni 100, sasa tuungane tena tufikishe Milioni 200 na tuandike historia nyingine. TUENDELEE KUCHANGIA KUFANIKISHA BARAZA KUU LA UMMA. M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hilda Newton21,685 просмотров • 3 дней назад

Wauaji wamekataliwa Mbinguni na dunian, kila mmoja na aseme amen.🙏🏿
Hilda Newton47,950 просмотров • 9 дней назад

CHALLENGE YA SATIVA IMEPATA MWITIKIO MKUBWA.✌️ Challenge ya Sativa ya kuahidi kuchangia TSh. Milioni 2 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma endapo michango itafikia TSh. Milioni 100, imepokelewa kwa shangwe na mwitikio mkubwa kutoka kwa Watanzania. Kinachovutia zaidi ni kwamba, ndani ya saa 18 tu tangu atangaze challenge hiyo jana usiku, Watanzania wamechangia TSh. Milioni 10, na kufanya jumla ya michango kufikia TSh. Milioni 60. CHANGIA SASA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hilda Newton20,160 просмотров • 4 дней назад
0:45
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Hii video imeniliza sana.😭 Mhe. Lissu kapitia magumu na maumivu makali sana ya majeraha ya risasi, mwili wake umechakazwa kwa risasi ambazo alipigwa kwa amri ya Magufuli. Sasa hivi anasota jela kwa zaidi ya mwaka mmoja kwasababu Nduli Idd Amin Mama kambambika kesi ya uhaini. Unaweza kutazama full Documentary ya BBC News Africa kwenye hii link hapa 👇
Hilda Newton20,938 просмотров • 6 дней назад

Hii ya mbeya ndo inaitwa mwana ukome.🙌 NB. Wazee wa AI wakikasirika napost tena mpaka watubu.😂😂😂
Hilda Newton73,513 просмотров • 27 дней назад

"Wafuasi wangu kwenye social media, X (twitter), Instagram, Facebook, Tiktok, mamilioni ya Watanzania na marafiki zangu wengine wote naomba tushiriki katika hili jambo kubwa na jema kabisa la #Tonetone, tutengeneze mvua itakayotuwezesha kukomboa nchi yetu." Mhe. Lissu, Mwenyekiti Chadema Taifa. CHANGIA SASA M-Pesa Namba: 0744446969 Jina: CHADEMA HQ NMB Bank Namba ya Akaunti: 22606600140 Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hilda Newton18,785 просмотров • 7 дней назад

Nduli Idd Amin Mama kachanganyikiwa mpaka anatuita Wanaharakati eti sisi ni Magaidi. Hivi kati ya sisi na yeye ambae ameuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi kisha akaiba maelefu ya miili ya ndugu zetu na kwenda kuizika kama mizigo kwenye makaburi ya Halaiki nan Gaidi?
Hilda Newton26,974 просмотров • 11 дней назад

Mbunge wa CCM kutoka Zanzibar anasema kwamba Martha Karua alivyokuja Tanzania vyombo vya usalama vilitakiwa kummaliza. Yani alitaka Martha Karua apotezwe kama walivowapoteza akina Deusdedith Soka. Ni aibu kubwa kwa Tanzania kuwa na Mbunge mwenye akili mbovu kama huyu.🚮🚮🚮
Hilda Newton778,344 просмотров • 1 год назад

HECHE; WEKENI AGANO NA CHADEMA KWA VITENDO. CHANGIENI BARAZA KUU LA UMMA. "Watanzania wekeni agano na CHADEMA, ndio chama chenu, kwamba hiki ndio chama chetu tutakipigania mpaka tone la mwisho la damu yetu." Mhe. John Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA – Bara Agano hujengwa kwa vitendo. Leo tunayo nafasi ya kuonesha mshikamano wetu kwa kuendelea kuchangia Marathon ya kufikia TSh. Milioni 334 kwa ajili ya kufanikisha Baraza Kuu la Umma. Kila mchango una thamani. Kila shilingi unayochangia ni sehemu ya kuijenga CHADEMA imara na kuwezesha chama chetu kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa wananchi. Tunawaalika wanachama, wapenzi na Watanzania wote wenye imani na CHADEMA kuendelea kuweka agano lao kwa vitendo kupitia mchango wao. Pamoja tutafikia lengo la TSh. Milioni 334 na kufanikisha Baraza Kuu la Umma.
Hilda Newton14,029 просмотров • 6 дней назад

Hapa ni Arusha Asante sana Wafanyabiasha wa Arusha kwa kuunga mkono Maandamano ya #77 kwa kutofungua maduka yenu.💪
Hilda Newton26,911 просмотров • 13 дней назад

Leo Mpina kafungua turbo, anapiga za kwenye mshono mbichi.
Hilda Newton85,803 просмотров • 1 месяц назад