Hilda Newton's banner
Hilda Newton's profile picture

Hilda Newton

@HildaNewton21955,315 subscribers

Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045

Shorts

Jana Nduli Idd Amin mama alitegesha, apige simu awasalmie millennials akaishia kuzomewa 😂😂

41,613 görüntüleme

Jana wakati mjadala unaendelea kwenye #MariaSpaces David Nkindikwa alisikika akiongea kwa taharuki kwamba “Kuna watu wananisikiliza” baada ya hapo akapotea hewa. Kwa akili za kawaida huu muda aliopiga kelele kwenye Space ndo muda ambao alichukuliwa na hao watu ambao mpaka sasa hatujui ni akina nani? #FreeDavidNkindika

53,816 görüntüleme

‼️ALERT ‼️ Huyu kwenye hii clip ni Sheikh Ubwabwa, Mwaipopo akiwa kituo cha Polisi Shauri Moyo Nairobi hii ilikuwa Mwaka 2022 Mwaipopo alipowaomba pesa Watanzania (Waislam) ambao wanaishi Oman aliwambia anaomba pesa kwa ajili ya kulipa Mawakili na kuhonga Polisi wa Kenya ili wamwachie huru, sasa alipoona ni kama watu wa Oman wamemshtukia ikabidi arekodi hii video na kuwatumia Watanzania walioko Oman ili wamuamini. Hapa alikuwa bado hajajua kama wenzake washajua kwamba kesi yake sio ya Ugaidi na yeye alikuwa amekomaa kusema anatuhumiwa kujihusisha na Ugaidi kwasababu ya dini, wakati ukweli ni kwamba ilikuwa ni kesi ya utapeli wa fedha na wenzake walikuwa shajua.😂😂😂😂 Mwisho wa siku alivoona watu wote wamempotezea ilibidi atafute njia alirudishe pesa zote alizotapeli watu ndo akaachiwa. Imagine huyu Tapeli ndo Nduli Idd Amin Mama anamtumia kutukana, kutisha na kushambulia wakosoaji wake.🚮

52,704 görüntüleme

Wabunge haram wakiongozwa na ester amos bulaya wanasema kwamba Serikali ya Marekani imewahukumu maccm bila kuwapa nafasi ya kujitetea. Sasa wao kabla hawajawapiga risasi na kuwauwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi waliwapa nafasi ya kujitetea.?

Sensitive content

42,239 görüntüleme

Kumbe yale makofi ya jana yamewauma sana naona leo Mwigulu katoa mlio.😂😂😂

63,728 görüntüleme

HAKUNA ALIYESALAMA Anaandika Mdau kutoka Geita👇👇👇 Hapa ni Ililika-Nyarugusu Geita imetokea RUSH Mpya ya Uchimbaji wa Madini. Kama kawaida wakajitokeza watu wengi kwa ajili ya usimamizi na Moja ya kundi lililojitokeza ni UVINYA Umoja wa Vijana Nyarugusu, Hili ni kundi kubwa la vijana hapa Mgodini ambalo lina watu wengi wenye uzoefu mkubwa wa uchimbaji na wengine wakiwa wajasiliamali na wafanya biashara wadogo wadogo. Walifika kwa ajili ya kuomba tenda ya kusimamia rush, na wakaja na vifaa vya kujenga nyumba ya muda(temporary residence) walikua na vifaa kama mbao nk. Sasa alitokea mtu mwenye bunduki na kuaza kuamuru vifaa hivyo viondoshwe haraka sana! Mzozo ukawa mkubwa bwana huyu alishika bunduki akaanza kutumia kitako cha bunduki kumpiga huyu kiongozi wa UVINYA! Huyu kiongozi wa UVINYA ni mwanaccm tena mjumbe katika serikali ya Kijiji hiki, in short ni wale ccm kihere here. Huyu kada wa CCM ameumizwa sana na askari huyu ambae alikua akisema kwamba yeye anamaelekezo kutoka juu ni Askari mwenye rasta na mwenye muonekano ambao si wa kiaskari, Mashuhuda kadhaa wa matukio ya Oktoba 29 wanasema kwamba huyu Askari ni miongoni mwa Askari waliokua wakimimina risasi kwa raia mjini katoro siku ya Oktoba 29, 30,31 na Nivemba 1 Haya hivyo huyo Kada wa CCM pamoja na kipigo chote icho waliondoka nae na sasa anashikiliwa kituo cha Polisi, Wamemnyima hata huduma ya kwanza licha ya kwamba anajereha kubwa kichwani.

70,244 görüntüleme

Hii video mpya ya Oktoba 29, Wananchi wanasikika wakisema Serikali inavunja Katiba. Halafu Nduli Idd Amin Mama anasema waliondamana walikuwa hawajui kwanini wameandamana kwamba hawakuwa na sababu walifuata mkumbo.🚮🚮

39,074 görüntüleme

Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia Mwananchi kwa marungu na mateke.😭

106,120 görüntüleme

Limama liuaji halina hata aibu. 🚮 🚮 🚮

Limama liuaji halina hata aibu. 🚮 🚮 🚮

50,291 görüntüleme

Russian Embassy in South Africa 🇷🇺 This Woman is a murderer, She seized power after shooting and killing over ten thousand Tanzanians.

Sensitive content

Russian Embassy in South Africa 🇷🇺 This Woman is a murderer, She seized power after shooting and killing over ten thousand Tanzanians.

14,878 görüntüleme

Tumerudi Mahakamani, Mhe. Lissu anasema kuanzia leo atabaki jela kwa sababu ya uchaguzi tu ila kesi imeshaisha, Mhe. Lissu anashangiliwa sana hapa.

59,694 görüntüleme

Watu wa Mbeya wakienda kumzika mwenzao ambae aliuwawa kwa risasi na Vikosi vya Nduli Idd Amin Mama.

54,505 görüntüleme

Hawa ni vijana wa Mbezi beach Goig. Walipigwa watatu mmoja ya kichwa amekufa walimzika Alhamisi tarehe 30.10.2025 Huyu alielala kapigwa ya kiuno ni Niko na huyo aliepigwa ya kifua ni Dulla. Vijana zaidi ya 20 wamekufa hapo! ila vijana wana mwamko kuliko Oktoba. Haya ndo matokeo ya kuwa na mtu aliyepewa uongozi bila kuelewa watu anaowaongoza. Halafu Idd Amin Mama alisema hawa ni raia kutoka nchi jirani. Kiukweli hatuwezi kukubali damu za ndugu zetu zipotee bure, tutapambana mpaka Haki ipatikane. #D9 #SamiaMustGo #TanzaniaIsBleeding

53,497 görüntüleme

Juzi alianguka Mlinzi wa Idd Amin Mama leo gari yao imekula mzinga. Tuzidishe maombi!

62,996 görüntüleme

Huyu Baba kaingia Mahakamani amesema ametumwa na Mungu kuwaonya Majaji wanaoendesha kesi ya Mhe. Lissu Kabla hawajasikia ujumbe wake kabebwa ‘msobemsobe’ na askari magereza!

52,242 görüntüleme

Nimejaribu kumsikiliza Bi harusi lakin nimeshindwa kuelewa alikuwa anamaanisha nini.🤧

99,518 görüntüleme

Tuko hapa magomeni mapipa tunasubiri watu waongezeke tukiamshe!…

99,559 görüntüleme

Naona tayari nchi yetu wameshapewa Wajomba toka Oman, Leo tarehe 01.04.2026 Kampuni ya Transom Handling kutoka Oman wameanza kutoa huduma kwenye Kiwanja cha Ndege cha Mwanza. Kampuni ya Airco imefungashiwa virago rasmi kwenye Kiwanja cha Ndege cha Mwanza!

23,755 görüntüleme

Dear Fighters Gen-Z & Millennials ambao tumewapoteza tukiwa kwenye mapambano ya kupigania Taifa letu. Nyinyi ni Mashujaa wetu, nyinyi ni fahari yetu mmepigana vita kwa machozi, jasho na damu. Tanganyika itawakumbuka Daima na sisi tuliobaki hatutakubali damu zenu zipotee bure, tutapambana mpaka pumzi zetu za mwisho mpaka Haki ipatikane. Moyo unauma sana, Nendeni wadogo zetu, nendeni wapambanaji wetu, tutaonana badae. Raha ya milele uwape eeh bwana na mwanga wa milele, uwaangazie. Wapumzike kwa Amani.🙏🏻💔😭

44,130 görüntüleme

Videos

HildaNewton21's profile picture

Bishop Gwajima alikuwa mbele ya muda.

Hilda Newton

38,413 görüntüleme • 16 gün önce