
Hilda Newton
@HildaNewton21 • 959,637 subscribers
Journalist/Activist/President Of Tanzania 2045
Shorts
Videos

‼️MWANAJESHI WA UGANDA AMEANZA KUACHIA VIDEO/PICHA ZA WATU AMBAO WAMETEKWA NA UTAWALA WA MUSEV NA KUFICHWA KWA ZAIDI YA MWAKA‼️ Mwanajeshi wa Uganda Luten Mabonga Herbert Matanda ambae alikuwa mshirika mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Mseven pamoja na Mwanae Gen. Muhoozi Kainerugaba. Luten Matanda ni moja wa maofisa wa Jeshi la Uganda ambao walikuwa ana access na nyumba ambayo Museven na mwanae walikuwa wakiitumia kuficha na kuwatesea watu ambao wamekuwa wakiwateka wakiwemo Wanaharakati, Wanasiasa wa Upinzani na watu ambao wanakosoa Serikali ya Uganda. Nyumba hiyo ipo karibia na Ikulu ya Uganda. Muda wote ambao Luten Matanda alikuwa akifanya kazi na Museven alikuwa anarekodi matukio yote kwa simu yake na kutunza kumbukumbu. Mwezi uliopita Luten Matanda aliamua kuvunja ushirika wake na Museven pamoja na mwanae, alisema kwamba moyo wake hauna amani kuendelea na kazi hiyo so kwasasa ameamua kusimama upande wa Wananachi. Tangu mwenzi uliopita anaachia ushahidi wa video za watu waliotekwa na Mseven, wengine tangu watekwe mpaka sasa ni zaidi ya Mwaka mmoja, ndugu zao walishalia msiba wakiamini kwamba huenda walishauwawa kumbe ndugu zao bado wapo hai ila wanahali mbaya kiafya kama mnavoona kwenye hii video na hawa ni baadhi tu ya waliotekwa ambapo wengi ni Wanaharakati na Viongozi/ Wanachama wa Chama cha National Unity Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine. Mtoto wa Mseven akishateka Wanaharakati na watu wanamkosoa Baba ake anawalazimishwa kuvaa fulana zenye picha au nembo ya Museveni kisha anawambia wamsifie Mseven kisha vikosi vyake vinaanza kuwapa mateso ya kila aina mbele ya Camera, Luten anasema wengine walikuwa wanapoteza maisha kwasababu ya mateso so walikuwa wanachukua miili Yao na kwenda kuizika porini.😭 Baada ya kuona video za Uganda nimepata matumaini kwamba kuna siku mtu mmoja ndani ya Jeshi la Polisi atakuja kufanya kama Luten Matanda lakin naamin huenda hata ndugu zetu akina Soka, Mdude, Kipanya, Aman Manengelo, Chaula na Humphrey Polepole huenda wapo hai.
Hilda Newton60,483 次观看 • 1 天前
2:50
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Nduli Idd Amin Mama ameingia kwenye vita na Machinga Nchi nzima. Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa Mpanda - Katavi linalotumiwa na machinga, limebomolewa, watu wamepoteza mali zao kwasababu hawakupewa notice, wamekuja kushtuka wanaona Greda limevamia na kuanza kubomoa vibanda vyao. Nakumbuka wakati wa kampeni Maccm yalikuwa yanawapamba machinga kwa kuwaita “Machinga wa Mama” Leo wanasema machinga wafukuzwe kila kona eti wanachafua miji.🚮
Hilda Newton61,337 次观看 • 8 天前

Miss Nepal katumia vazi lake la utamaduni kupaza sauti ili Dunia itambue hali ambayo inaendelea Nepal kwasasa. Wa kwenu kajikausha licha ya kwamba anajua watu zaidi ya elfu kumi wameuwawa Oktoba 29, 2025 na mpaka sasa kuna watu zaidi ya 400 wametekwa na kupotezwa na bado, wanaendelea kutekwa, Serikali haram iko kimya hakuna cha Uchunguzi wala nini. Anyways ndo ivo kupanga ni kuchagua.
Hilda Newton80,067 次观看 • 11 天前

‼️HUYU NDO MWIGULU MNATAKA MIMI NIMUONEE HURUMA..???‼️ Hii ilikuwa November 25, 2025. Wakati Watanganyika tukiwa kwenye majonzi mazito sana baada ya Nduli Idd Amin Mama kuuwa kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi na kuiba maelfu ya miili ambayo walienda kuizika kama mizoga kwenye makaburi ya Halaiki. Mwigulu akiwa kwenye Mkutano wake na Wahariri wa Media zote Tanzania akaongea huu utumbo kuonyesha Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa sahihi kuwamiminia watu risasi na kuwaua. Yani tukiwa kwenye simanzi na maumivu makali ambayo hayaelezeki, wakati ambao kama Taifa tulikuwa tunahitaji faraja na uwajibikaji kwa wote waliohusika kuuwa ndugu zetu, Mwigulu alitoka hadharani na kusema-; “Watu waliingia barabarani kuandamana so mlitaka Polisi wafanye nini??…” Nduli Idd Amin Mama aliua ndugu zetu then Mwigulu baada ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu haram akaanza kufanya kazi ya kumsafisha na kutukejeli Watanganyika wenzake na juzi tu hapo katoka kutukejeli kuhusu matukio ya watu kutekwa na kupotezwa anasema Tanzania hakuna utekaji hiyo ni michezo tu. Huyu Mwigulu ni miongoni mwa watu walioshiriki 💯 kumfitini Nchimbi, hata baada ya Nchimbi kufutwa uanachama Mwigulu aliangusha bonge la part nyumbani kwake Masaki akaalika maccm menzake wakasherekea anguko la Nchimbi wakala, wakanywa na wakasaza. Sasa leo Nduli Idd Amin Mama ambae alikuwa anamsifia, anamtetea na kujaribu kumsafisha mikono yake iliyojaa damu za Watanganyika aliowaua Oktoba 29, kamemgeuzia silaha ndo anataka kila mtu amuonee huruma, hii haiwezi kumsaidia. Binafsi ukimtoa Nchimbi ambae siku zote alikuwa akihubiri Haki, hakuna mwanaccm ambae naweza kumuonea huruma kwenye izo vita zao za kutoana MAINI, mimi kazi yangu ni kuchochea kuni ili moto uwake yani nataka wapopoane mpaka ifike muda maccm yote hasa ya Tanganyika yajue hayako salama pengine yataona haja ya kuunga mkono Movement ya kudai #KatibaMpya
Hilda Newton69,615 次观看 • 15 天前

‼️HABARI MBAYA‼️ Huyu Dada kajulikana kwa jina moja Rose, Leo akiwa maeneo ya Mlimani City amevamiwa na watu Wasiojulikana, wamemchukua na kuondoka nae. Mashuhuda wanasema baadhi ya watu walijaribu kuwahoji waliomchukua kwamba wao ni akina nan? Wametokea wapi? Na wanampeleka wapi Rose? Wakaishia kupigwa. Tukio limetokea masaa mawili yaliyopita, Hakuna aliyesalama Ndugu zangu.💔😭
Hilda Newton190,307 次观看 • 1 个月前

Nduli Idd Amin mama amedhamiria kuhakikisha Wananchi wakufa kwa njaa, jana kawavunjia vibanda machinga wa Mbagala. Nakumbuka wakati wa kampeni kulikuwa kikundi cha Machinga wa mama mara sijui Mama na machinga damu damu, haya sasa kiko wapi..? Tuliwambia Nduli ni tapeli, leo mmejionea.
Hilda Newton84,477 次观看 • 22 天前

Miezi mitano iliyopita Dudubaya alituambia Wanachadema tuwe makini na Ishengoma ni kibaraka wa Abdul. Sasa baada ya Abdul kuona kwamba ushahidi waliotoa Mahakamani kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu hautoshi kumtia hatiani Mhe. Lissu ndo kampa kazi huyu Ishengoma ili aje kusema Mhe. Lissu ndo aliwatuma kufanya uhaini. Abdul ni zero brain ndo maana hata watu ambao anawatumia kwenye mambo yake ya kiwaki na wao hawana akili kama yeye.🚮🚮
Hilda Newton107,671 次观看 • 1 个月前