
Dr. Hamisi Kigwangalla
@HKigwangalla • 1,265,640 subscribers
#HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.
Shorts
Videos

Very smart! If I were a lawyer I would VOTE ADVOCATE SWEETBERT NKUBA for Presidency; he is smart, meticulous, composed and has that leadership acumen that commands respect. All the best Wakili Msomi Sweetbert Nkuba. Go there and shine, you got this fighter 🤛🏾💪🏾! #HK #Fighter #NjeYaBox #SiasaNiVitendo
Dr. Hamisi Kigwangalla69,212 Aufrufe • vor 1 Jahr

Tukiongea kuhusu kwenda #NjeYaBox, ndiyo huwa tunamaanisha mambo kama haya sasa. Ninayo hadithi binafsi kidogo ya ku-share juu ya kazi kama hii ya ndugu yangu Geofrey Mbilinyi. Kwa mara ya kwanza nilienda China kwenye Canton Fair mwaka 2006! Niliambatana na Ndg. Yohana Mswahili, Mkurugenzi mwenzangu kwenye kampuni yetu ya MSK Solutions Ltd (ambayo baadaye ilikuja kukua na kuzaa MSK Group). Tulikuwa wanachama active wa Tanzania Chamber of Commerce, Industries and Agriculture (TCCIA) na Confederation of Tanzanian Industries (CTI). Nilikuwa na umri wa miaka 31. Nimeoa, bila watoto. Nilikuwa na degree za MD, MPH, na nilikuwa nasoma MBA (double majors - Organisation & Leadership na Strategy & Marketing) na nachukua kozi za Ph. D. (Health Economics). Nilikuwa mtu busy sana. Nalala masaa machache sana na sina blah blah hata kidogo. Major relaxation opportunity ilikuwa Afya Club na madaktari wenzangu weekend tukienda Don Bosco ama Leaders’ club kucheza soccer, ama siku za mechi Taifa kuangalia Simba. Ni mwaka huu ambapo tulipewa mkopo wa bilioni 1 na benki ya CRDB Bank PLC kwa mara ya kwanza na tukaanza kununua na kuchambua pamba (cotton procurement and ginning). Tukiwa China, tulinunua vitu vingi kwa ajili ya biashara zetu hapa nyumbani. Kipindi hiki pamoja na biashara ya pamba, IT, tulikuwa pia na duka la nguo Kariakoo. Wakati huu Kariakoo na biashara ya China ilikuwa ina-boom vibaya sana. Tulipata changamoto kubwa sana ya kusafirisha bidhaa zetu. Mwishowe, rafiki yetu Jimmy, aliyekuwa akiishi kule, ambaye ni kaka mkubwa wa Joe Makanyaga (The Cask) akatushauri tujaze makontena yetu. Tukafungasha kontena mbili, kukabaki mizigo mingine basi tukaunganisha na wenzetu tukajaza tena kontena lingine tukaship. Hapa nikaona fursa ya biashara ya sourcing, storage, handling, forwarding and shipping to Tanzania! Tukaijadili sana hii fursa, lakini ikaonekana lazima kuwe na watu China na Tanzania. Tukasema tuifanye. Tukaanza mipango lakini hatukufika popote. Tulipoenda tena China mwaka huo, tukakutana na kijana mmoja wa kitanzania aliyeitwa Salaah, tukaambiwa anasafirisha mizigo kwenda nyumbani, hata kama ni kidogo tu. Tukatumia huduma yake. Hii ilikuwa ni kampuni mpya ya Silent Ocean, ambayo leo hii ni kubwa na inasaidia wafanyabiashara wengi. Safari hii nilipoenda, nilikuwa na mission ya kununua bidhaa za biashara zangu. Kwenye ndege mke wangu akakutana na binti mmoja wa kikinga wakajenga urafiki kwenye mazungumzo yao. Wakati tunashuka binti akatuambia kaka zake watampokea na hivyo tusikodi taxi kwenda hotelini. Kumbe ni hawa GNM Cargo. Unajua ukienda China hutokosa cha kununua. Mke wangu alijikuta ananunua vitu kibao. Unajua wanawake tena…shopping ni shughuli yao! 🤔😃. Binti alimhakikishia uhakika wa usafirishaji kupitia kwa GNM Cargo, basi ikawa balaa! Baada ya kusafiri kwenye miji na viwanda nilivyokusudia niliamua kuwatembelea GNM Cargo kujifunza. Nilifurahi sana kukuta wanafanya kitu ambacho miaka 20 iliyopita nilikifikiria. Nilipata wivu kidogo kwa nini huyu Mkinga ameweza, na mimi nilishindwa? Hii ikanikumbusha motto wa #TeamBelieve (nilipotia nia kuomba Urais Mwaka 2015!) kuwa; Dream, Believe you can, Take action, Achieve! Sikutimiza ile hatua ya “Take action”. Huwa nikiandika hizi story za safari yangu ya #NjeYaBox kuna watu wanabyeda, pengine mtaanza kujua tu kuwa niliishajaribu, kufikiri na kupitia mengi sana nikiwa mdogo, ambayo huyajui kuhusu mimi. Pengine sasa utakuwa inspired na utajifunza! Be honorable! #HK #Fighter
Dr. Hamisi Kigwangalla32,735 Aufrufe • vor 1 Jahr

T99. MD. Hii ni cohort ya wanafunzi tuliojiunga masomo ya ‘Degree of Doctor of Medicine (MD)’ mwaka 1999 pale chuo Kikuu cha Dar Es Salaam, enzi hizo kwenye college yake iliyoitwa MUCHS. ‘Hii ni ‘Cream’ ya Taifa’ kama alivyosema Prof. Luhanga, Makamu Mkuu wetu wa Chuo enzi hizo wakati wa matriculation exams pale Mlimani. Tulijiona special sana kuingia chuo kikuu. Hapa kuna watoto wa kawaida kabisa kutoka Puge mpaka Chikundi, Masama mpaka Busokelo. Tupo hapa. Kwenye kundi hili kuna wakurugenzi, maprofesa, Mbunge, wajasiriamali nk! Kwenye kundi wanasema jamani hapa tulipo ndiyo ‘fyucha’, tumefika. T99 imejaa vipaji. Kiufupi ni watu wenye ‘exceptional intelligence’, maana kupata nafasi ya kujiunga MD enzi zile ushindani ulikuwa mkali sana. Kwa nchi nzima waliopata nafasi hizo hatukuzidi 300! Ilikuwa ni lazima uwe na Division 1 ya PCB. Jana tulikutana (re-union) kama ilivyo ada yetu. Hii imekuwa ya tatu sasa. Sijawahi kukosa hata moja. Ukitaka kuishi maisha marefu yenye furaha, hakikisha unajumuika na wenzako, usijitenge! #HK #Fighter #NjeYaBox
Dr. Hamisi Kigwangalla46,356 Aufrufe • vor 2 Jahren
Keine weiteren Inhalte verfügbar