
Mnyawami
@jacksonmnyawam2 • 30,289 subscribers
Secretary CHADEMA Serengeti Zone(Mara,Shinyanga &Simiyu
Shorts
Videos

Namna Mwenyekiti wa Jimbo la Iringa Mjini Frank Nyalusi alivyokamatwa Polisi leo Iringa mjini,
Mnyawami116,237 views • 1 year ago

Kuna taarifa kutoka Jimbo la Tarime Vijijini uwepo wa Magari ya Jeshi la Wananchi JWTZ,Maeneo ambayo Magari ya Jeshi la Wananchi yameonekana ni Nyamongo,Nyamwaga na Nyanungu Chama Cha Mapinduzi imeona kutumia Jeshi la Polisi kupola Uchaguzi haitoshi na sasa wameliingiza Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Uwepo wa Jeshi la wananchi kwa nyakati hizi ambazo kumekuwepo na Maelfu ya Kura Feki zikiingizwa kwenye vituo vya kupigia kura unaleta hofu na Wasiwasi mkubwa kwa wananchi
Mnyawami22,153 views • 1 year ago
No more content to load