
Mnyawami
@jacksonmnyawam2 • 30,221 subscribers
Secretary CHADEMA Serengeti Zone(Mara,Shinyanga &Simiyu
Shorts
Videos

“Inavyoonekana ni kuwa wanaonufaika na mapungufu yaliyomo katika sheria za sasa, hawana haraka kufanya maboresho hayo.Wito wetu Maaskofu kwa mamlaka zinazohusika ni kuwa sauti na vilio vya watu wanaotaka kufanyika kwa maboresho ya katiba na sheria visikilizwe na visipuuzwe (TEC)
Mnyawami21,004 次观看 • 1 年前

Kuna taarifa kutoka Jimbo la Tarime Vijijini uwepo wa Magari ya Jeshi la Wananchi JWTZ,Maeneo ambayo Magari ya Jeshi la Wananchi yameonekana ni Nyamongo,Nyamwaga na Nyanungu Chama Cha Mapinduzi imeona kutumia Jeshi la Polisi kupola Uchaguzi haitoshi na sasa wameliingiza Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Uwepo wa Jeshi la wananchi kwa nyakati hizi ambazo kumekuwepo na Maelfu ya Kura Feki zikiingizwa kwenye vituo vya kupigia kura unaleta hofu na Wasiwasi mkubwa kwa wananchi
Mnyawami22,153 次观看 • 1 年前
没有更多内容可加载