Jamii Forums's banner
Jamii Forums's profile picture

Jamii Forums

@JamiiForums1,840,694 subscribers

Inform | Engage | Empower | Digital Democracy

Shorts

DAR: Mtu aliyejitambulisha kuwa Afisa wa Halmashauri ya Jiji akitoa tangazo, Julai 17, 2026 katika Soko la Ilala Boma na Karume akiwataka wafanyabiashara wadogo kuanza rasmi kulipa ushuru kila siku. Ameeleza maelekezo hayo yametolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa kwa yeyote atakayekaidi maelekezo. Mdau, yapi maoni yako? Fuatilia zaidi, shiriki #JamiiForums #Uwajibikaji #Governance #UtawalaBora

30,377 görüntüleme

DAR ES SALAAM: Licha ya Mkuu wa Mkoa, #AlbertChalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 3 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024 Awali, Chalamila akizungumzia taarifa za mgomo wa Wafanyabiashara wa #Kariakoo alisema "Yawezekana Wafanyabiashara wana Malalamiko ya dhati kabisa lakini Masuala ya mgomo yasichukuliwe kuwa ni jambo la pamoja." Taarifa ya mgomo ilianza kusambaa kupitia vipeperushi ambavyo havikuwa na jina la Mwandishi, Juni 22, 2024 na sababu zilizotajwa ni kupinga masuala ya Kodi Kandamizi Soma #JamiiForums #CivilRights #SocialJustice #Accountability #Uwajibikaji #Uchumi

19,823 görüntüleme

Videos