
Jamii Forums
@JamiiForums • 1,841,327 subscribers
Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
Shorts
Videos

DODOMA: Akizungumza Septemba 9, 2026, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa wito kwa Maafisa Habari kuhakikisha wanatoa taarifa zenye tija na zinazosaidia kuzuia upotoshaji badala ya kujaza taarifa kuhusu viongozi kwenye kurasa zao. Zaidi #JamiiForums #Uwajibikaji
Jamii Forums23,172 次观看 • 3 天前

BOTSWANA: Akihojiwa na eNCA’s CheckPoint Podcast, Rais wa Botswana, Duma Biko amesema uongozi unapaswa kuchukuliwa kama kazi ya muda, si utambulisho wa kudumu wa Mtu, unahitaji nidhamu na unyenyekevu. Aidha, amegusia changamoto ambazo Serikali mpya hukutana nazo inapokabidhiwa mamlaka kutoka kwa utawala uliokaa muda mrefu, ikiwemo kurithi mfumo wa utumishi wa umma uliokuwepo. Amesisitiza marekebisho yanapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, usawa na Utawala wa haki. Fuatilia zaidi #JamiiForums #Governance #AfricanPolitics #Accountability
Jamii Forums20,314 次观看 • 9 天前

DAR: Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amemaliza kujitetea kama shahidi wa kwanza mbele ya jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru katika kesi ya Uhaini Na. 19605 inayomkabili katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Katika kujitetea, Tundu Lissu amesema upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha kuwa alikuwa na nia ya kuitishia Serikali, akisisitiza kuwa hakuna shahidi aliyesema Serikali iliogopa sana siku hiyo au kwamba Ikulu haikukalika siku hiyo kwa kauli zake. Ameongeza kuwa, kuanzia Rais hadi Mtendaji wa kijiji na Mtaaa ambao wote ni 'Serikali' nilimtisha nani kati yao? Kifungu hicho kilichotungwa wakati wa Grey Likungu Mataka wakati wa utawala wa Chama kimoja hakifai tena kuwa sehemu ya sheria zetu. Bofya kusoma #JamiiForums #JFSheria
Jamii Forums25,537 次观看 • 18 天前

DAR: Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Geneva, Dkt. Abdallah Possi, amesema hayo Agosti 19, 2026, katika mahojiano na Wasafi Media. Agosti 15, 2026, Chama cha Kitaifa cha Waandishi Weusi wa Habari cha Marekani (NABJ) kilitangaza tuzo hizo, ambapo makala ya Mwandishi wa CNN, Larry Madowo, kuhusu vifo vilivyotokea Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, ilishinda tuzo Zaidi #JamiiForums #Siasa
Jamii Forums31,455 次观看 • 23 天前