
Bin Kazumari
@jemedarisaid • 119,228 subscribers
Public Figure
Shorts
Videos

Kipande cha video ya mama Mzazi wa Feisali Salum ‘Feitoto’ akizungumza msimamo wa familia kuhusiana na sakata la mwanae na Yanga. Video ndefu ipo kwenye account yangu ya Instagram Bin Kazumari . Ametoa msimamo wa familia na yeye Kama mzazi na rai kwa TFF na Yanga Kama wazazi.
Bin Kazumari100,995 views • 3 years ago
1:12
Sensitive content
This media may contain sensitive content.

Watoto wana angalia picha za ngono kwenye simu ya mzazi wao, halafu wanacheekaa, hawaioni hatari iliyopo mbele yao kwa majirani wanao waangalia na iwapo baba akijua wanachofanya. “Dube is coming, Guedde is here” wamesahau kuna kesi? Mbona Azam walikuwa watulivu kipindi kile.
Bin Kazumari57,517 views • 2 years ago

“Uwanja uko tayari kwa ukaguzi wa CAF hata leo au kesho,Simba watacheza Robo fainali yao. Serikali imefanya kazi kubwa sana kwa kushirikiana na TFF & CAF, labda kama wanataka kutuhujumu” Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, akiongelea Kwa-Mkapa kufungiwa na CAF kwa pitch mbaya
Bin Kazumari31,262 views • 1 year ago

Kuna wakati tunagombana bila kujua tunachogombania. BIN KAZUMARI MTIPA.
Bin Kazumari26,533 views • 1 year ago

“Wanaokuja Afrika Kusini wabebe makoti maana hali ya hewa ni ya baridi huku” DAUKA SOMBA
Bin Kazumari13,858 views • 1 year ago
No more content to load