Bin Kazumari's banner
Bin Kazumari's profile picture

Bin Kazumari

@jemedarisaid119,236 subscribers

Public Figure

Shorts

“Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni” Peter Shalulile amekosa hiyo nafasi ya wazi kabisa. HT: Namungo 0-0 Yanga

44,752 просмотров

FT: Yanga 1-0 KMC Nchi haina makipa, hawa hakuna anaewapa pesa kufungisha hawana uwezo tu. Wengine hawana hata sifa ya kuwa makipa wa akiba kwenye klabu ya Ligi Kuu.

120,528 просмотров

GK wa Coastal Union amekuwa na mechi nzuri kwa dakika 90, BAHATİ MBAYA sana yeye ndio ameifungisha timu yake bao 1 ambalo GONGOWAZI wamepata na kushinda 1-0. Kimsingi kama GK huwezi kuucheza mpira, baki golini, that simple. Vinginevyo ulikuwa mchezo wenye thamani ya Ligi Kuu.

59,832 просмотров

“Niwe mkweli Yanga Afrika msimu uliopita wameanza kucheza kimataifa sikufahamu sana kuhusu Yanga, kwetu sisi, kwa miaka saba iliyopita nilikuwa nafanyakazi Morocco na tuliwaona kila mara Simba kwenye mashindano ya namna hii…” Miguel Garmond kocha wa Yanga

65,129 просмотров

Pashakua Pagumu 😂😂😂

Pashakua Pagumu 😂😂😂

44,477 просмотров

Ukiuza Samaki lazima uwajue majina. Kahama hapo napokea mali mbele ya difenda halafu nageuka, nataka kushuti jamaa akaingilia mipango ikaharibika.

11,764 просмотров

UBAYAAAAA, UBWELAAAAAA Wamefika FAINALI kwa kustahili, wamecheza mashindano haya kwa umakini mkubwa tangu mwanzo mpaka hapo walipo. Si ajabu wakirudi na Kikombe mwaka huu, uwakilishi wao kwenye ukanda wa CECAFA na Tanzania ni wa kupigia mfano.

18,787 просмотров

Uchambuzi kabla ya mchezo wa leo kati ya Stellenbosch na Simba SC pale Durban, kupitia DStv (TZ) ambapo umerushwa channel namba 225 (Soccer Africa), tunamwaga yai lililochanganywa na lugha mama

18,242 просмотров

I’m humbled 🙏🙏🙏

I’m humbled 🙏🙏🙏

17,821 просмотров

Videos

jemedarisaid's profile picture

I’m humbled 🙏🙏🙏

Bin Kazumari

17,821 просмотров • 1 год назад

Больше нет контента для загрузки